Recent content by kijana mkimya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rayvanny atwaa tuzo ya BET

    rayvanny ktk pozi la taifa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa Bongo wananunua followers Instagram

    wanazingua.wanaona aibu kusema ukweli wasionekane wamefulia
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa Bongo wananunua followers Instagram

    Nimegundua wasanii wa bongo(wenyewe wanajiita mastaa) wengi wao wananunua followers instagram ili waonekane wanakubalika katika jamii. Imegundulika hata hao followes ambao wananunua wengi wao ni vivuli hawapo active instagram. Staa ana followers 1m lakini kila akiweka post anapata like 2k au...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Alinidhulumu, nimemuharibia. Je, nimekosea wakuu?

    hakuna mtu aliebaki upande wake zaidi ya mkewe. watu wote wamemkimbia wanamuona jamaa kawa kinyesi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Alinidhulumu, nimemuharibia. Je, nimekosea wakuu?

    nimepata nguvu ya ajabu ya kusonga mbele, we ulitaka nimuangalie akijagamba na kunufaika baada ya kunitapeli na kuniweka juani?? hakuna kitu kama hiko dunia ya sasa. ukija.mba wenzio wanaharisha!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Alinidhulumu, nimemuharibia. Je, nimekosea wakuu?

    "samehe 7 mara 70" ni rahisi sana kuandika na kuutamka mdomoni ila ni vigumu kuutekeleza. binadamu tumeumbwa na kitu kinachoitwa kisasi. siku yakikukuta utaelewa namaanisha nini mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Alinidhulumu, nimemuharibia. Je, nimekosea wakuu?

    mjini mipango mkuu, ukijitia kuleta ujuaji kuna watu wanajua zaidi yako!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Alinidhulumu, nimemuharibia. Je, nimekosea wakuu?

    kweli kabisa mkuu kiaina nimefarijika moyo wangu. sikuwahi na sitothubutu kwenda kwa mganga!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Alinidhulumu, nimemuharibia. Je, nimekosea wakuu?

    Kijana mwezangu tulikuwa tuna mpango wa kufungua biashara pamoja ila mwisho wa siku akajifanya mjanja akachukua mtonyo wote akafungua biashara kwa jina lake akanikana. Nilijiona fala maana nilikuwa sina uthibitisho wowote kama tulichangia baishara, nilimuamini kupita maelezo coz tulitoka mbali...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha yanawafanyaga nini wadada mpaka mvuto unapotea?

    Hii imenitokea sana unakutana mdada mliokuwa unasoma nae, kipindi yuko shule alikuwa anaonekana mrembo kweli alikuwa tishio kwa kila mtu ila ukikuta nae tena mtaani baada ya kupotezana miaka kadhaa dah utashangaa muonekano wake amenyorodoka anaonekana kama mchafu fulani hivi hana mvuto tena yupo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania nitaipata wapi hii tamthilia

    website gani naweza kuipata ktk subtitles ya english
  12. K

    JamiiForums Tanzania nitaipata wapi hii tamthilia

    tamthilia ya zuhun
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nay Wa Mitego amchana Gigy Money!

    mashalahu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaishi nchi za nje, mke anataka kurudi Tanzania, mumewe hataki

    dogo wa kwanza ana miaka minne, wa pili miwili
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaishi nchi za nje, mke anataka kurudi Tanzania, mumewe hataki

    kwahiyo mi dada?!! mkuu heshima haiuzwi, tuheshimiane.
Back
Top Bottom