kijana mkimya
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 277
- 121
Nimegundua wasanii wa bongo(wenyewe wanajiita mastaa) wengi wao wananunua followers instagram ili waonekane wanakubalika katika jamii. Imegundulika hata hao followes ambao wananunua wengi wao ni vivuli hawapo active instagram.
Staa ana followers 1m lakini kila akiweka post anapata like 2k au 1k, comments 20,50 hadi 200, 300 ndo katisha. wakieka video wanapata views 2k wakijitahidi sana 10k.
Hali ni tofauti kwa wale mastaa wa nchi za wezetu, Star anaweza akawa na followers 600k kila post ana comments kuanzia 500 au 1k au zaidi likes zinaanzia 30k mpaka 70 hadi 100k, wakiweka videos views wanaanzia 100k na kuendelea. Mastaa wa bongo acheni ustaa mav.i kunuka.
Hamkubaliki ndio maana mnanunua followers..