Recent content by kijana mgumu

  1. kijana mgumu

    Nimejikusanya na kupata 350,000; TRA wananikadiria kodi kubwa, nifanyeje?

    Ili upate line ya uwakala wa tigopesa, mpesa etc (Till) lazima uwe na TIN pamoja na leseni ya biashara. Hapo ndipo unapolazimika kulipia kiwango cha chini cha Tsh 150,000 tra na leseni ya biashara ni kama Tsh 70,000 kwa mwaka kama sijakosea kwa manispaa hata kama hujaanzisha biashara bado.
  2. kijana mgumu

    Afumwa akifanya mapenzi ofisini

    Duuh kazi ipo...........................
  3. kijana mgumu

    Wewe ni mgonjwa wa Series? Pakua hapa buree bila kutumia Torrents Clients

    Shukran mkuu. Vp muendelezo wa series ya "The Walking Dead". Imeishia series 5 episode 7 (S5E7) ktk link uliyoweka.
  4. kijana mgumu

    Topic gani Hisabati iliyokuwa inakushinda (O-level/A-level)?

    Daah umenikumbusha mbali sana, moja kati ya masomo niliyokua nayapenda sana basi mathematics ni mojawapo na nilipata A (F4& F6) ila topic ya PROBABILITY, F4 ilinitesa sana. Ilifika mahali nilikua sifanyi swali lake kabisa kwenye section B mpaka niwe sina jinsi maana hata swali lake kulipata...
  5. kijana mgumu

    Barua ya kupangiwa kituo cha kazi kutoka sekretariet ya ajira.

    Habari wana JF na wadau wa jukwaa hili, kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mdau aliyebahatika kupata kazi ktk tangazo la August,1 kuwa wale wote waliotumia anuani za DAR barua zao wanachukulia pale zilipo ofisi za sekretariet ya ajira kuanzia saa SITA mchana leo tar 4.8.2014. Kwa wale waliotumia...
  6. kijana mgumu

    Nafasi za kazi NSSF

    JOBS/KAZI - OPERATIONS OFFICERS.
  7. kijana mgumu

    Uhamiaji

    ​Katika yale majina 58 ya nyongeza, walioitwa kwenye oral interview ni 15 tu. Unaweza kuprove kama muda unao.
  8. kijana mgumu

    Tahadhari na utapeli huu kwa mlioomba kazi hii kampuni

    ​Ndio hiyo hiyo mkuu, yaani hizi kampuni mpya ni majanga matupu siku hizi.
  9. kijana mgumu

    Msaada tafadhali wanaJF

    Habari wana JF. Dada yangu amepigiwa simu kwa No. 0222771853 jioni ya leo akiwa anahitajika kwenye usaili utakaofanyika chuo cha Ardhi kwa post ya Assistant Accountant. Kutokana na tatizo ktk simu yake kuna maneno hakuyasikia vizuri kama tarehe ya usaili na muda. Wakati anauliza hivyo vitu simu...
  10. kijana mgumu

    Tahadhari na utapeli huu kwa mlioomba kazi hii kampuni

    Mkuu sidhani kama itakuwa busara kwa sasa kuitaja kampuni yenyewe.
  11. kijana mgumu

    Tahadhari na utapeli huu kwa mlioomba kazi hii kampuni

    Ni muda sasa umepita tangu hii kampuni itangaze nafasi za kazi. Katika masharti yao walitaka ujaze form yao kisha uitume kwa kutumia email waliyotoa. Katika form yao kuna sehemu walitaka ujaze taarifa zifuatazo: Family details (Father, mother, sibling, wife/husband, children): No Full name...
  12. kijana mgumu

    Ni maswali gani ya written interview, utumishi?

    Ngoja wadau waje wakupe possible ila me nilishawahi kufanya interview ya NAO hapo hapo Kigamboni walitoa maswali ya auditing 2pu.
  13. kijana mgumu

    Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    Tunaomba mtu yeyote mwenye link atuwekee ili tuweze kufungua ktk format ya PDF. Nahisi kuna baadhi ya vitu havijawekwa ktk hii list iliyowekwa hapa JF. Mfano: Tarehe ya interview, itafanyikia wapi n.k
Back
Top Bottom