Topic gani Hisabati iliyokuwa inakushinda (O-level/A-level)?

Topic gani Hisabati iliyokuwa inakushinda (O-level/A-level)?

Sikupenda history na ilikuwa ngumu sana kwangu lakin nashangaa necta nkapiga A!!!!!!!!!!!!!
 
Je,wewe topic gani ilikuwa inakushinda?

Daah umenikumbusha mbali sana, moja kati ya masomo niliyokua nayapenda sana basi mathematics ni mojawapo na nilipata A (F4& F6) ila topic ya PROBABILITY, F4 ilinitesa sana. Ilifika mahali nilikua sifanyi swali lake kabisa kwenye section B mpaka niwe sina jinsi maana hata swali lake kulipata ilikua pia ni PROBABILITY.
 
Zote zilikuwa ngumu kasoro smaltaneous eqtn ila cjui ile C ya namba niliipataje...mpaka leo najiuliza maswali mengi ila nilijua kbs ni F au D.
 
Kwa wale waliosoma economics hlf calculation za National income zikawa zinakuzingua sana kama mimi, tupia koment tujuane.
 
katika mitihani niliyofanya bila stress ktk maisha yangu ni chemistry namba moja na basic maths namba mbili. cjawah kufanya mitihani ktk maisha yangu nikiwa relaxed kama hiyo.
 
earth as sphere, mwalimu alishindwa kufundisha nikaichukia kabisa (O - level). Pia statistics ya masters noma sana. Yaani nawaheshimu wenye PhD za statistics.
 
nilikuwa napata alama nzuri sana maths lakin sikuwahi kufanya swali la PROBABILITY.
 
Probability ilikuwa shida sana kwangu. Advance ilikuwa option kuifanya paper two so nikakomaa na trig, differential eqnz na cord 2... Sasa semister ya 2 chuo nna course ya probability 1. Time to face the monster i avoided

Unasom uchumi na statistic nn
 
Kwa wale waliosoma economics hlf calculation za National income zikawa zinakuzingua sana kama mimi, tupia koment tujuane.

Mimi zilinizingua kwenye public finance
 
Katika maths topic ya vector nilishindwa kabisa kuijua sijui kwanini.
Nakumbuka ilikuwa paper 2 form six halafu wadau wengine wakasema swali la vector ndio swali rahisi
 
Theory of brobability aiseee, nakumbuka o level hii topic ilinitoa jasho sana nikaamua kuipotezea, Advance nikakutana nayo tena kitu Probability distribution nilikomajeee ila nayo nikaamua kuipotezea.

Kutanabahi chuo tena nikakutana nayo mwaka wa pili semister ya pili. Wanaosoma au waliosoma IFM wanaipata hii course Statistics II. Ila nikaamua kukomaa nayo na mwisho wa siku nika score A kimbe ukiamua kukomalia kitu inawezekana!
 
Back
Top Bottom