Recent content by Kijallo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kugombea Ubunge jimbo la Kwimba 2020

    Kila la heri
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Moshi usafi haujaanza Jana we kijana Usafi ni asil ya watu wa Moshi
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 DSM CCM wana madiwani wangapi na UKAWA wangapi?

    Jiji la Mbeya lina kata 36.... Chadema wana kata 26,Ccm wana kata 9 kata moja haikufanya uchaguzi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Bendera za CCM zaiteka Arusha

    Niko Arusha mbona sizioni
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Msafara wa Sugu washambuliwa kwa mawe; Dereva wake aumizwa

    Ukweli ni huu Sugu alikuwa ana kwenda kwenye kampeni kata ya Nshoho.. Wakati akipipita kwa bahati mbaya kwenye hiyo barabara kulikuwa na kampeni za Ccm kwenye kata vya Ghana, kwa bahat mbaya Ccm na Cdm hawakutumia busara ktk hili... Cdm walikuwa na uwezo Wa kupita njia nyingine... Lakini nao...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jan 7 unabii katika nchi ya Tanzania 2015

    Lowassa ndiye chaguo la Mungu
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majina ya mapacha yanayoanzia na M

    Salaam ndugu na jamaa zangu, Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimepata watoto mapacha leo wa kike na wakiume. Naombeni ushauri majina gani niwape yenye maana yanayoanzia na M.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Sikukuu ya mashujaa Mbowe anahusika vp?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote wa umma waliotia nia kuondolewa katika Payroll ya Serikali Julai 2015

    Nafikiri ni kwa ubunge na urais siyo udiwani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tunduma Twende Na Mwakajoka

    Twende na Emmanuel Nkwamu
  11. K

    JamiiForums Tanzania PIGA KURA: Kipima JOTO ITV Leo Jumapili 5.7.2015

    Ndiooo
  12. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM yawasha moto Mbeya mjini

    Wakati fulani tutumie na akili zetu.Katika jiji la Mbeya lenye mitaa 181 hakuna mtaa unaitwa MPUGUSO...hizo picha kapiga Ushirika kilomita 90 toka Mbeya mjini na mnasema hizo ni Mbeya Mjini?WANA CCM MKOJE? Huyo mnayemwita Kajuna.alianzisha ligi KAJUNA CUP.kwenye viwanja vya S/M Mbata ameshindwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara kesho

    Huu ni ukweli kabisa.kwa wafanyabiashara kesho ni sabato
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Askari Polisi auliwa na raia

    Afadhali imetokea Dodoma,ingetokea Mbeya,Arusha,Mwanza yangekuwa mengine hapa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) anastahili pongezi

    Mbeya ya 20 05-2010 siyo hii,watu wanaweza kupinga lakini ukweli ndiyo huo.....
Back
Top Bottom