Tadhali Kama unajua juu ya tuhuma hizi tufafanulie zaidi. Binafsi nashindwa kuamini kuwa Nyerere angeishia kumpa kazi nyingine katika serikali. Sitta ni mmoja wa watu waliofanya kazi kwa uadilifu sana.
Ni kweli kabisa kama Fullgadiva J, alivyosema hapo juu.Chanzo cha tatizo la ajali nchini ni uendeshaji mbaya unaotokana na utoaji wa leseni kwa njia ya rushwa.Pili wanategemewa kusimamia usalama barabarani ndio hao wala rushwa wakubwa na pia wana magari yao binafsi ya biashara kwa hiyo...
Hii swala hili la simu huenda pia linafanana na swala la tiketi ya ndege. Jubu sehemu kubwa kama mtu mmoja alivyoongelea hapo juu ni "Local Tarrifs imposed by the governmemnt" Jiulizekwanini ndege zinatua nakuja mafuta na kusafishwa Kenya na sijui ndege gani ya Kimataifa ina lala Uwanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.