Kwanini kupiga simu Tanzania kutoka UK au USA ni bei ghali sana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini kupiga simu Tanzania kutoka UK au USA ni bei ghali sana?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mzee2000, Nov 17, 2011.

 1. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Tanzania unakuta bei ni mpaka mara 3 ya Kenya, je kwanini inakuwa ghali hivi kupiga simu kutoka n'gambo? NIni kinasababisha na serikari ifanye nini?

  Naomba maoni yenu.
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  niliulizaga kampuni moja ya simu wao unakuwa na account una weka pesa then unatumia basi wakasema sababu ni Tanzania wana charges kubwa, sikutaka hata kuuliza zaidi. ila ndio walivyosema na hii imekuwa shida sana tangu mie niko huko. kwa hiyo serikali yetu iangalie hili na kupunguza charges wanazoweka
   
 3. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kupiga simu TZ toka USA au EU ni ghali, lakini kwa hili si tatizo la TZ bali ni charge kubwa huko uliko na pesa ya TZ kuwa iko chini. Hata ukiangalia huko Kenya, pesa yao iko juu kuliko ya TZ.

  Hata hivyo, unaweza kupunguza gharama kwa 3/4 ikiwa utatumia njia mbadala za kupiga toka kwenye compyuta kwa kutumia yahoo messenger voice, VOIP au skype, google talk n.k. Raha ya njia hizi ni kuwa, ikiwa unaowapigia watakuwa wameinstall programme hizi, mnaongea bure (+video calls).
   
 4. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mweh!)))))))))))
  mnunulie modern unayetaka kuomngea naye huko tz ili muongee kupitia net(skype) an wereva u want kama kupiga cm gali kuliko kuuliza serikali mana hapo siioni hata serikali imeingiaje hapo na ww ndio mwenye shida ya cm
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa kitu kidogo wasingizia serikali .. tumeine POIVY ni cheap.. mimi natumia hiyo euro 10 naengea mpaka nachoka


   
 6. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Lp
  Sasa hiyo inafanyaje kazi Mimi ninaowapigia hawana Internet ya ndani wana Simu za kawaida
   
 7. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Simple reason, hatuna landlines na mafisadi hawataki TTCL waweze kuweka landlines zaidi na kujiendesha kibiashara zaidi hivyo waendelee kuwakamua walipa kodi kupitia makampuni yao. You might remember this .... .... njia kuu za uchumi ni lazima zimilikiwe na serikali. Sasa hivi hizo zinamilikiwa na Mafisadi kwa hiyo mtaendelea kulipa hizo bei kubwa kuwaneemesha wajukuu na vitukuu vya Fisadi papa.
   
 8. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mimi uzoefu wangu mkubwa ni kwa matumizi ya Skype. Unanua Sype credit kwenye mtandao wao kwa kutumia credit card na upata wastani wa saa 1 kwa euro 11.50 (VAT included).
   
 9. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Uk ukitumua kadi ya pound 5 ambazo unanunua kona shops unapata dakika 100
   
 10. k

  kijabakari Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii swala hili la simu huenda pia linafanana na swala la tiketi ya ndege. Jubu sehemu kubwa kama mtu mmoja alivyoongelea hapo juu ni "Local Tarrifs imposed by the governmemnt" Jiulizekwanini ndege zinatua nakuja mafuta na kusafishwa Kenya na sijui ndege gani ya Kimataifa ina lala Uwanja wa Kimataifa Dar es Salaam, jibu wanaogopa gharama na uhafifu wa huduma
   
 11. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Tumia Magic Jack, Skype, Viber, Google and even Vonage. Achana na upuuzi wa kununua calling cards ama direct calls
   
 12. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu MAMMAMIA michango yako hapo juu ni ya ukweli kama mtu hata kusoma basi huyo anahitaji darasa kabisa..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. S

  Soki JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tena nadhani inapunguza hizo gharama for more than 3/4

  Tatizo ni kwamba watu wengi hawajawa na mwamko wa kutumia hizo huduma ulizotaja. Siyo kwa sababu tu hawana computer, kwani wengine wana smartphones zenye uwezo huo kabisa.

  Tatizo nadhani ni ignorance! Ujinga unaotokana na kutokujua!!

  Cha kufanya tuendelee kuelimishana
   
Loading...