Kiti cha Kikwete na miujiza yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiti cha Kikwete na miujiza yake

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Nov 18, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,961
  Trophy Points: 280
  Jk kila aendako anabeba kiti na kuzunguka nacho, hakalii kiti kingine.
  Je hicho kiti kina nini spesho?
  Kwanini hataki kukalia viti vingine?
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  maagizo ya sheikh yahaya hayo
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  kilibarikiwa na marehemu sheikh yahaya
   
 4. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kina "charger" ya kumhakikishia mjomba "NGUVU" kila aishiwapo!
   
 5. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,850
  Likes Received: 4,517
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ni kweli. Ina maana hata akifanya geographic expeditions ​zake uwa anakibeba?!
   
 6. k

  kijabakari Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu tutasaidie maelezo zaidi juu ya hiki kiti hata hivi karibuni alipokuwa USA alikuwa nacho?
   
 7. C

  CONECTED GUY Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni utara ibu wa rais kutumia viti vya ikulu hata mkapa and many presidents do tha same
  kama obama atatembea na gari yake everywhere kiti ni minor thngs
  just security isues
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ina maana hata kwenye safari za nje huwa anachukuwa hicho kiti? Au ni wakati anatutembelea sisi 'wachawi' wenziwe?
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,961
  Trophy Points: 280
  Halafu nasikia kina gari spesho la kukibeba
   
 10. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka alipokuwa anatangaza cabinet baada ya EL kujiuzulu aliwekewa kiti akaomba abadilishiwe. Kwa hiyo hii ya kutembea na kiti imeanza baadae, sio security issue. Ni mambo ya kijamii zaidi
   
 11. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,869
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  Kumbukeni ni Mtu wa pwani yulee... Utamaduni(mazngara) lazma yausike.
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,961
  Trophy Points: 280
  Jamani kumbe ndio maana nchi inayumba, inaongozwa na kiti
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Purely mazingara!
  No wonder ata leo akiwa analonga na wazee ameamua kukaa heshima ya wapi iyo!
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,258
  Likes Received: 21,961
  Trophy Points: 280
  Jamani alikuwa anaogopa kupiga mweleka
   
 15. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni kweli ni kiti hicho hicho jamanai au vinafananaga tu.
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mkapa alianza utaratibu wa kutumia kiti kimoja baada ya kurejea ulaya alipofanyiwa operation ya mguu. kiti hicho kilitengenezwa mahsusi kutokana na maelekezo ya madaktari kutokana na tatizo lake. nadhani baada ya muda aliacha mtindo wa kutembea na kiti hicho
   
 17. S

  Singili Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hicho ni kiti cha Rais wa Serikali ya Tz.Kama umechukia,pole!
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni imani za kishirikina
   
 19. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hizo overheads zote za nini sasa? Inakuwaje kama mtumishi wa umma akiwa na "matakwa/mahitaji" kama haya? Je atatengnezewa naye kiti na gari special?
  Hivi, kazi hizi wanafanyaga medical exams kabla kuanza kazi kuthibitishi wako fiti?
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Naogopa kusema tena maana siioni msg yangu ya kwanza. But mhhh! Sometimes I don't understand people. Labda ni mila au mazoea!!
   
Loading...