Recent content by kiizarob

  1. kiizarob

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mkuu angalia PM yako, nina ujumbe wako
  2. kiizarob

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mdau naomba connection ya huyu. plz over plz nipe namba yake PM nifurahie maisha
  3. kiizarob

    Wapiga picha wa Ikulu kuweni makini na kazi zenu

    We nawe ni wale wale. Kuweka kapicha kamoja unachukua nusu saa!!!!!
  4. kiizarob

    "Amber Ruty" anaweza kuigiza filamu za ngono

    Mwenye hizo video, tafadhali naomba na mimi nione tako lake
  5. kiizarob

    Watanzania nioombeeni, beki 3 wangu anazidi kupendeza

    weka picha yake nasi tumuone
  6. kiizarob

    Top 30 most powerful military powers 2018

    Unajua kwanini Millitary Budget ya USA ni kubwa? Ni hivi, Marekani inajihusisha kwa kiasi kikubwa na vita vingi duniani visivyomhusu na ndo maana budget yake ipo juu.kwa mfano mashariki ya kati majeshi ya USA yametapakaa huko ikiwemo Syria. Kwaio sio kwamba budget hiyo yote inaenda kwenye...
  7. kiizarob

    Zari: Success is not sexually transmitted !

    Acha povu mama kuwa mpol [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
  8. kiizarob

    Ushauri wa lishe kwa watoto mapacha wa miezi miwili

    Habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nina watoto mapacha wana miez miwili sasa. Kiukweli wameanza kusumbua hivi karibuni nafkri ni kutokana na kutotoshelezwa na maziwa ya mama. Nafkria kuanza kuwapa maziwa ya ng'ombe ila watakuwa wanaendelea pia kunyonya kwa mama yao. Ushauri juu...
  9. kiizarob

    Mtangazaji wa kike Azam Tv habari za michezo ananikosha sana

    Weka picha yako hapa tuangalie wewe na yeye nani mbaya
  10. kiizarob

    CHADEMA wajue: Kuna shule za Serikali, shule za kijamii na shule binafsi hivyo kauli ya Rais Magufuli ni sahihi

    Nafikiri tatizo sio kuwa serikali haitaki kutoa mkopo kwa wanafunzi waliosoma shule binafsi, kilichopo hapa ni kwamba budget haitoshelezi kwaio lazima kipaombele wapewe wale wa shule za serikali. Serikali ina nia njema tu ya kuhakikisha wanafunzi wote wananufaika na mikopo ili kuwapa ahueni...
  11. kiizarob

    Zitto Kabwe atoa orodha ya watu waliotekwa na kuuawa Mkuranga, Kibiti na Rufiji (MKIRU)

    Na majina ya wale askari na viongozi wa vijiji yapo kwenye hiyo orodha?
  12. kiizarob

    Mdogo wangu anahitaji mpenzi

    Sifa zako ni zipi? Namanisha ni wewe ndo unahitaji mpenz usizuge
  13. kiizarob

    Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

    Acha roho mbaya mkuu, hiyo minong'ono mbona sisi wengine hatuisikii iweje uisikie peke yako.
Back
Top Bottom