STRAGGLE MAN
JF-Expert Member
- Jan 10, 2018
- 698
- 614
Gusa unaseMkuu hata we we mwenyewe ukifkiria tu unadhani kiduku anauwezo wa kumpiga marekani??
U.S.A ni ishu nyingine mzee,ndo baba lao
Gusa unaseMkuu hata we we mwenyewe ukifkiria tu unadhani kiduku anauwezo wa kumpiga marekani??
U.S.A ni ishu nyingine mzee,ndo baba lao
HahahahaHii mambo ya kumwaga pesa ndefu kwenye jeshi bila mechi ni bure naomba umoja wa taifa uangalie uwezekano wa kuwa na vita za kirafiki.
Labda 20+, wameiharibu na siasa, wakikuhisi tu kuwa umewapa Chadema kura wanaweza wakakufukuza jeshini.Hivi kwa hapa africa bongo tupo namba ngapi jeshi kali![]()
hizo ni helcopters carrier ambazo mfaransa alikuwa amuuzie mrusi kabla hawajashindana akaamua kuuza misriSikuwa kujua kama Misri anamiliki Aircraft Carrier. Asante kwa kinijuza. Je hizi alinunua kwa Marekani au?
Hii mambo ya kumwaga pesa ndefu kwenye jeshi bila mechi ni bure naomba umoja wa taifa uangalie uwezekano wa kuwa na vita za kirafiki.
aiseeUkichukua ile military budget ya zile top 10 yaaani
$$(Egypt 4.4 + Germany 39.2 + Turkey 8.2 + Japan 43.8 + UK 45.7 + France 35 + India 51 + China 161 + Russia) = $432.9
Yaani uki combine nchi zote izo bado budget yake haifikii baba lao Uncle Sam $587
Military budget sio issue,
marekani lazima iwe na bajeti kubwa kwasababu ya operations zinazofanyika kwani zinatumika pesa,mfano kuweka base moja tu nje kwa miaka nenda rudi,ni gharama sana,
sasa marekani wanabase karibu 500 duniani,zinahitaji pesa zote hizo na huko ndso mabilioni yanakotomea,
huwezi linganisha na china ,ambae ana base moja tu,kwahiyo pesa zake zinaenda sana katika research na weapons developments,
ndo maana china wanavyafua manowari na ndege za kivita kama wanaduplicate,maana pesa haina matumizi mengi ya kuhudumia bases sehemu mbalimbali
Unajua kwanini Millitary Budget ya USA ni kubwa? Ni hivi, Marekani inajihusisha kwa kiasi kikubwa na vita vingi duniani visivyomhusu na ndo maana budget yake ipo juu.kwa mfano mashariki ya kati majeshi ya USA yametapakaa huko ikiwemo Syria. Kwaio sio kwamba budget hiyo yote inaenda kwenye millitary innovation and developmentUkichukua ile military budget ya zile top 10 yaaani
$$(Egypt 4.4 + Germany 39.2 + Turkey 8.2 + Japan 43.8 + UK 45.7 + France 35 + India 51 + China 161 + Russia) = $432.9
Yaani uki combine nchi zote izo bado budget yake haifikii baba lao Uncle Sam $587
Ndio mkuu huoni ni matumizi mabovu ya pesa alafu itokee vita ucharazwe si aibu![]()
![]()
aisee
wamejiandaa ndo maana wanatumia mipesa mingi...USA kucharazwa vitani labda achangiwe...Ndio mkuu huoni ni matumizi mabovu ya pesa alafu itokee vita ucharazwe si aibu
Uzuri ni kuwa nimejitahidi kuelezea kila kipengere mpaka nikatoa source...kwa mtu makini haina tena haja ya kuniuliza jambo lolote kwan maelezo niliyotoa yanajitosheleza
Military is a combination of Army,Navy and Air force.
Army-The ground force
Navy-Defender of the seas
Air force-Flying falcons.
Au mbwembwe zake zakuwauwa wapalestina wanaotumia mawe na mapanga zinakudanganya...Wewe 'ulitaka' Israel iwe ya ngapi???
"Omar" Ok, Noted.Au mbwembwe zake zakuwauwa wapalestina wanaotumia mawe na mapanga zinakudanganya...