Hii niliiangalia kitambo sana BUT as usual your stories are very interesting at the beginning then later they became business as usual, ndiyo maana the big question is now tushafahamu waislam hivi waislam wa Tanganyika vile....then what next...??? je, maandiko yako ya Historia hasa kuhusu...
Waislamu wa pwani lazima watakupa nishani kwani ni wazuri katika kulalamika na kujikweza,......wanapenda kuunasibisha uislamu na uarabu, pwani ndiyo kuna concepts za mfumo kristo kwa wingi sana. Mostly historia yako naona imelenga zaidi kuelezea jamii ya ma babu zako akina Sykes though siyo...
Hapana mkuu, mimi ni kiongozi katika level ndogo sana.....level ya familia yangu, na katika misingi ya kiislamu bado sijafikia level ya kuongoza kundi la watu.....uislam una miiko yake katika uongozi. Hoja yangu kubwa ni kuwa historia hii aliyoandika na kuitangaza mzee wetu Mohamed Said lengo...
Mzee unajua unachoteteaga hata hakijulikaniki, KINDLY hebu elezea historia hii ambayo wewe umeiandika inasaidia nini jamii ya kiislam kwa sasa. Mufti aliwahi ongea kuwa sisi karibia kila kitu tumepewa na serikali, please it will be worthy to explain how Muslim can re write the History.....bora...
Very sad....nadhani mzee Mohamad said angetumia pia muda wake kuelezea historia hiyo itusaidieje kwa huu mkwamo wa kimaendeleo katika jamii hasa ya kiislam.....kwa sababu tumelalamika muda mrefu, hata lengo la maandishi ya mzee huwa halieleweki kwa kweli nimesoma muda mrefu sana ila hata...
By the way alishajichanganya.....nasikia akaropoka eti 'Mbowe ni mnufaika coz alifutiwa kesi za kisiasa....', yaani unajifunga own goal wakati unashambulia....😁😁😁
Wewe marketing ofisa au mchambia mwiko tu.....nyie ndiyo mnazunguka na mafurushi ya mizigo viatu vimewaponda.....acha kushoboka shoboka....kama unakosa hoja uwe unafunika kundu lako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.