Diamond ametukosea Sana wabongo baada ya kusema wadada wa Kenya wanaelimu ila Dada zetu wa Tanzania wana utamu. Diamond anapaswa kutuomba radhi watanzania
Kwa sasa Bodi ya mikopo imeweka kipengele cha REFERENCE NUMBER, kwenye sehemu ya Demographic details.
Hii imekuwa shida sana, inalazimu uende ofisi za serikali za mitaa uende ukapatiwe barua ya utambulisho ambayo inatoka kwa njia ya online kwasasa.
Hili limekuwa tatizo, kwanza watendaji...
Kuna wimbo flani hivi wa wanawake, Jokate kachukua wenzie wakaenda usafini wakapewa Mboso wakachora verse studio wakashusha kichupa, nilivyoona chakuwasifia wanawake, nikajua huko Tiktok hakushikiki.
Nafika Tiktok mabinti wala hawafanyi challenge ya kichupa chao. Wamevurugwa na Mapenzi tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.