Recent content by kihasa

  1. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Jaman hv mbna account yangu ya ajira portal inakataa ku login
  2. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kama wanaanza kuhesabu siku nmetoka oral si ndo maana nmekua na mchecheto maana nmetoka oral December na December si kesho tu hapo mwaka unakua umekamilika
  3. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nmefanya oral December 2022, tena oral zaid ya Moja, Post tofaut tofaut. But sijui wenyew database huo mwaka wanahesabu kuanzia wakati gan
  4. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapana wao ndo waloshika mpini sis tumeshika makali, tuwe wapole tuwaombe watukumbuke tuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mungu atusaidie
  6. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaah inauma,, kama somo la uvumilvu nimelifanya sana lakin sion mwanga
  7. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Tushasagika na mawazo sana, just imagine mtu mwaka mzima unaishi kwa matumaini,
  8. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wiki ijayo muda wangu wa kukaa kwenye hyo wanaita database unaisha na Sina received yyte nayosubili interview na matangazo nayo ndo hakuna, jobless tupo kwenye bad situation, hongera mliopata nafasi(placement)
  9. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Utumishiiiii mtatuua na njaaa mtaaani,
  10. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Siku ya Leo imekaaje wadau kwenye vibuyu vyenu huko, maana mtoa ronja makofia360 haonekani sku hzi kutupa taarfa za ndani ya jiko
  11. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Vipi ndugu taarifa za next pdf zikoje, asali ni za Halmashauri tu au Kuna taasisi yyte
  12. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Siku nyingine ya matumaini, Eee MUNGU tunaomba neema yako, ambao bado hatujalamba asali.
  13. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Itatoka Leo kwel au ndo zitakaa hapo mpaka waajiri watupgie simu 😜😜😜
  14. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Daaaaah vimulimuli vya placements vimezima, watakubali pakae kmya hvo bila kutupia hata ki pdf Cha kb 2
Back
Top Bottom