Recent content by KiharoAbel

  1. KiharoAbel

    Msaada wa kuapply SUA

    Habari zenu wadau.... Mi ni form six leaver nataka Niapply SUA nimelipia ile ya ada ya sh.10000 lakini nashindwa kuendelea sababu password sina.... Naomba mnisaidie njia lahisi ya kutumia ili kupata password
  2. KiharoAbel

    Msaada msaada wa contacts please please please toa msaada kama unafaham

    sawa nashukuru ila tatzo nimejaribu kuitafta nimeshndwa
  3. KiharoAbel

    Msaada msaada wa contacts please please please toa msaada kama unafaham

    Jamani mimi naomba mwenye mawasiliano (namba za simu) za shule ya St. mary's ya mbeya ya wasichana (advance) anisaidie ,, then na anaefaham ada yao asisite kunambie ata matokeo yao ya kidato cha sita mwaka huu pia asisite kunambia God bless you
  4. KiharoAbel

    Unaamini Lowassa ataleta maendeleo chanya? je ni Migufuli wa kuiokoa Tanzania

    Ndugu zangu nimeamua niandike baada ya kukereka kwa muda mrefu, sisi sote ni watanzania na kila mmoja wetu anatamani siku moja aione Tanzania ikiwa pazuri kimaendeleo. Sasa mimi nashindwa kuelewa kuna wale watu ambao wameonyesha hisia zao kabisa kwa kusuport vyama fulani basi ningewaomba...
  5. KiharoAbel

    Magufuli kumnadi Chenge leo

    oya weka na ushaidi ili na sisi tusio na vyama tuamin
  6. KiharoAbel

    CHADEMA/UKAWA muwe wa kweli kwa kauli hii ya Mwl Nyerere

    vp unakumbuka alichokisema juu ya mtu wenu
  7. KiharoAbel

    Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    we jamaa vp sasa hiyo inahusiana vp na ICC,, unaweza niambie mtu aliefikishwa ICC kwa kosa la kubandua mabango
  8. KiharoAbel

    Livingstone Lusinde awaporomoshea matusi wanaUKAWA

    ndugu jarbu kutumia lugha nzuri ,,
  9. KiharoAbel

    Lowassa aachiwa zigo la kujinadi huku akiwa hana uwezo!

    hongera kwa wewe unae jielewa ila kumbuka upo kama bendera tuu unafuata upepo,, ingekua vizuri zaidi ungejichunguza vizur kwanza wewe then ndo ukaanza kuwambia hivyo hao wapinzan wako
  10. KiharoAbel

    Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

    mbona magufuli kajitaidi sana kwenye jimbo lake jaman wakati kipunga hana sasa tajir kabisa mambo yanakua hivyo??? sasa siangeanza kuwapa mabati kwao
  11. KiharoAbel

    LHRC yamtaka Dkt. Magufuli kufuta kauli zake

    ukweli haugawanyiki kua hakuna alie juu ya sheria, nikiongozi gani atathubutu kupindisha sheria wakati ukweli upo dhahiri
Back
Top Bottom