Recent content by KIGOMA ONE

  1. KIGOMA ONE

    Fursa za mikopo midogo midogo zipo wapi?

    Kama una biashara na unataka kukuza biashara yako na una nyumba nenda Amana bank wako poa sana
  2. KIGOMA ONE

    Nauza smartphone ASUS used 500,000 tsh

    Nina Asus zedfone 2 ime jilock kwa mwenye ujuzi tuwasiliane..0788 279350
  3. KIGOMA ONE

    ASUS zedfone 2 ime ji lock

    Wadau kwa mweny uwezo wa kuitengeneza sim yangu tuwasiliane, ime ji lock then ikiwaka inaonba pasword.. 0788 279350
  4. KIGOMA ONE

    unlock ya Vodafone 785

    Sim yangu ime jilock ni Asus zedfon 2 kwa mwenye utaalam pls tuwasiliane 0788 279350
  5. KIGOMA ONE

    Msaada jinsi ya kusave mauzo ya kila siku katika duka

    Nlikua naaanza kujibu post yako ila kuna mtu kapiga sim yote yamefutika nlikua hatua za mwisho Nicheki kwenye 0788 27 9350 ili tufundishane.
  6. KIGOMA ONE

    Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Mi kunakitu kilintokea hapo juzi usiku,natumia sumsung nlishangaa sana nlikua nikiweka sim kweny charger naona kama kuna mtu ana login kweny sim yangu anafungua ma file mbali mbali na kuingiza baadhi ya vitu yaan kama mtu ka login kweny pc kwa remot login Ilinipa shida sana usiku mzima...
  7. KIGOMA ONE

    Biashara ya simu kariakoo

    Wadau kwa heshma na taadhima naombeni ushauri kuhusu biasha ya sim. 1.Nina mtaji wa 25,000,000 baada ya kulipia frem je naweza anza biashara ya kuuza sim reja reja na jumla? 2.Nini changamoto za biashara ya sim? 3.Wapi naweza pata mzigo kwa bei nzuri ili niweze pata faida? 4.kodi yake ya...
  8. KIGOMA ONE

    Natafuta machine ya kukoboa mpunga Full set

    Nami nahitaji mashine hiyo ya mpunga akipatikana muuzaji pls nijulishe kweny 0788 279350
  9. KIGOMA ONE

    Msaada mashine ya kukoboa mpunga

    Wadau kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye kufaham mashine nzuri na yakisasa ya kukoboa mpunga naomba anipe taarif hizo hapa kwa kuzingatia yafuatayo. 1.Gharama za mashine husika 2.Ubora wa mashine 3.Upatikanaji wake
  10. KIGOMA ONE

    Utengenezaji wa chaki(my project)

    Nenda kwenye maonesho ya bishara 77 nimeziona kweny banda la SIDO
  11. KIGOMA ONE

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Mkuu mimi nipo mwanza vp hiyo technology inaweza kunifaa?
  12. KIGOMA ONE

    Nigusie mbinu kadhaa za ufugaji wa kuku bora

    Safi sana wakuu napata mambo mapya kilasiku
  13. KIGOMA ONE

    Kiwanja kinauzwa

    kiwanja kipo Mwanza Buswelu B...ukubwa ni 63kwa 33...kipo fresh kama unahitaj 0756654525
  14. KIGOMA ONE

    Nahitaji Kiwanja Jamani.

    wakuu....naomba kuwasilisha nauza kiwanja kipo mwanza buswelu B ukubwa 63*33....0756654525
Back
Top Bottom