Naungana na wewe kiongozi kwani mtu wa kwanza kulisimamia hili ni mzazi au mlezi katika familia ni ngumu sana kwa serikali kuingia mpaka kwenye malezi yetu
Ila wapinzani kwani mbunge na wawakilishi wengine wa wananchi hawatoshi kusimama kwenye maeneo yao na kuzungumza na wananchi wao juu ya mustakabali wa malengo yao mpaka mchukuane wanachama wote wakuu kuzururua na kuleta jam isiyo ya lazima kwetu? Loooh! hatutaki tumewachoka bana hizo pesa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.