Recent content by Kigoje

  1. K

    CCM inamilikiwa na nani?

    Ni siri ilio wazi, ni kundi la wafanyabiashara ambao sio Wamakonde wa Ntwara, au Wafipa wa Katavi, au Wazarao wa Pwani bali wageni ambao wote tunawajua, wengine waliwahi kutukamata utumwa, wengine waliwahi kupigana na Kinjekitile na wengine walikuwa vibarua wa kujenga reli ya kati iliokuwa ya...
  2. K

    Polisi wafichua siri za mauaji WAYAHUSISHA NA AMRI ZA WAKUBWA

    Nawapa tano, hao vijana wa Mwamnyange hata wakitoa kipondo kwa raia hutumia mikanda, lakini watoto wa Mwema bora kipondo cha Marehemu Osama, maana yeye hulipua mabomu toka mbali, lakini vijana wa mwema ni papo kwa papo mpaka wanaumizana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. K

    Habari Mbaya kwa Watu Wote kama ilivyoandikwa na 'Raia Fulani'

    Salamu hizi zifikisheni kwa mjomba, mpitie ule mlango wa nyuma, unaotazama bahari
  4. K

    Jee, duniani kuna nchi inayoendeshwa vibaya zaidi kuliko Tanzania

    Dalili ya mvua ni mawingu Mahali popote duniani ukikuta kuna migongano ndani ya chama tawala, ujue chama hicho kimeshindwa kuongoza au kusimamia serikali yake na hupoteza umaarufu, hivyo hukipata ya mfa maji. Amani inayohubiriwa na wanasiasa fulani ni kiini macho kiinachotumika kama mtaji wa...
  5. K

    Jee, duniani kuna nchi inayoendeshwa vibaya zaidi kuliko Tanzania

    Mahali popote duniani ukikuta kuna migongano ndani ya chama tawala, ujue chama hicho kimeshindwa kuuonoza nchi na kimepoteza umaarufu, amani inayohubiriwa na wanasiasa fulani ni kiini macho. Nafikiri Tanzania inaongoza kwa ujambazi afrika mashariki, vyombo vya dola kuua wananchi wake, rushwa...
  6. K

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Whatever they say about Nyerere he was a great philosopher, he believed in human values and had a strong will of doing what he believed in. The world is full of insanes irrespective of Black or white, Moslem or Christian, poor or rich, etc and at point of time when prooved this theory...
  7. K

    Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

    Wanasiasa wote fikra na matendo yanalingana na kinyonga, kujibadilisha rangi kifikra na kimatendo kulingana na mazingira, hivyo falsafa na kauli zao ni kivuli cha nadharia hiyo zaidi ya hapo tazama kauli za wapinzani wanaorudi CCM
Back
Top Bottom