Polisi wafichua siri za mauaji WAYAHUSISHA NA AMRI ZA WAKUBWA

Nawapa tano, hao vijana wa Mwamnyange hata wakitoa kipondo kwa raia hutumia mikanda, lakini watoto wa Mwema bora kipondo cha Marehemu Osama, maana yeye hulipua mabomu toka mbali, lakini vijana wa mwema ni papo kwa papo mpaka wanaumizana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
JKT nao pia hawaaminiki siku hizi, nadhani miaka ya nyuma ndo walikuwa na hiyo heshima kubwa. siku hizi nao wanaamrishwa na mafisadi tu kufanya uhuni, na pengine wao wenyewe kwa kuamini wapojuu ya sheria wanawafanya kitu mbaya sana wananchi. ukumbuke ni hawahawa JKT waliowafanyia vitendo vya kusikitisha wazanzibar wakati wa mkapa. kwa ujumla, kazi yoyote ya Jeshi huwa ni ya kinyama hasa ikitokea akakabidhiwa mwendawazimu. Napenda wawepo wanajeshi, lakini BINAFSI siipendi kazi ya jeshi. kwani naona sehemu kubwa inakiuka haki za watu na mwanajeshi anakuwa na uhuru wa kufanya baya lolote pasipo kuhojiwa, ilimradi tu yupo kwenye kutimiza majukumu yake, ambayo ni kuhakikisha utulivu. HEBU FIKIRIA MWANAJESHI ANAPIGA NA KUUA WATOTO NA WANAWAKE, ANABAKA WANAWAKE, HIVI KUBAKA NI SEHEMU YA MAJUKUMU YA MWANAJESHI KATIKA SHUGHULI ZA KUREJESHA AMANI???
 
Unajua nshindwa pata link kati ya polisi jamii na haya mauaji ya raia am told for the last ten years watu zaidi ya 200 wameuawa na polisi.
Rafiki zangu polisi wa Tz you need to relook on polisi jamii maana huwezi pata ushirikiano na watu ambao kila leo unawawinda uwaue regardless of incident iwe maandamano mikutano ya hadhara migodini uko.
You need to polish up you image b4 the public by stopping killings of Tanzanians
 
Mkuu, amri za Chadema ni zipi? Kwahiyo unaunga mkono amri ya kuua ya wakubwa wa serikali? Sijakuelewa, tafadhali niweke sawa hapo.

Amri ya chadema hukuisikia Nchimbi kaiongelea mbele ya waandishi wa habari? kama huijui, upo nyuma sana kwenye huu mjadala. Sasa jiulize kama kule si kutangaza vita rasmi ni nini?
 
01.JPG


Ni nani asiekubali kuwa JWTZ ni askari wanaoheshimiwa na kupendwa na watanzania wote?
Ni nani asiekubali kuwa wanajeshi wetu wako serious na kazi yao na wanajua nini wanachokifanya?
Ni nani asiejua kuwa askari jeshi wetu (jwtz) hawapendi kupelekwa kisiasa na serikali ya CCM?
Ni nani asiejua kuwa polisi ni kama sungusungu kwa sasa kwa kutoheshimiwa na wananchi kwa mambo yao ya kipumbavu.?

Emu waoneni makamanda hapo juu walivyokunja uso na wako serious je wanasiasa kama NAPE watapata wapi ujasiri wa kuwasogelea na kuwatumia kwa maslahi ya ccm?

NENO LANGU KWA JWTZ NI KUWA"" AMINI WANANCHI TUNAWAAMINI NA TUNAWAHESHIMU ZAIDI YA RAIS KIKWETE KWANI NYIE MNAJUA MNACHOKIFANYA HAPA TANZANIA""

Mko serious, mko smart,,,,keep it up kamanda mwamnyange,,keep it up all JWTZ SOLDIERS.

Unakumbuka shimbo alivyotutisha wakati tunakaribia uchaguzi mkuu 2010, Unatushawishi tukubaliane na ***** huu.
Kuwa na mazoea ya kunywa maji angalau lita tatu kwa siku itasaidia medula yako.
 
Ukada umezidi katika hiki chombo. Tatizo ni kamati mbovu za ulinzi ambazo zimejaa dhana ya ukada. Taarifa za inteligensia zenye mgongano wa kimaslahi na za kikada. Hatuwezi kuwa na nchi huru na ya amani tukiendelea namna hii. Nafikiria Tanzania ina watu makini ambao wanajua madhara ya kukandamiza Demo-Cracia. Na ni aibu kwa kiongozi kutunga taarifa za uongo ongo wakati uliapa wakati unapewa madaraka. CDM walikuwa katika office yao wakifungua tawi lao, eti "hakikisheni zoezi lao halifanikiwi, liwalo na liwe" siku wakigeuka hapatakalika hapa. Mnataka kutuletea balaa tupu. Mbona jana kulikuwa na maandamano, tena bila kibali lakini hamna aliyekufa? Mnaudhi sana.
 
Yani hawa polisi wetu sijui niwa aina gani hivi kweli unamuua mwenzio kwa makusudi kisa umeagizwa na mkubwa wako kwa maslah ya wanasiasa yani hii serikal yetu inauma saaana naichukia sana hiii nchi
 
Hizi taarifa zina ukweli ndani yake, kuna haja sasa ya kufuta ma Dc na ma Rc.
 
kweli kabisa,pilis wengi na wanajesh wetu,walifeli form 4 ndiyo wakaona mbadala ili waweze kujipatia mkate wakakimbila huko.halafu wengi walikuwa vilaza,bange sana wakorofi,wavuvu kusoma etc.

Kuna kitu zaidi ya kuwa kilaza darasani. Ukiwa kilaza haina maana unaua watu ovyo. Suala kubwa hapa ni jee nani anawapa polisi amri ya kuuwa? Mbona hakuna polisi wanaochukuliwa hatua baada ya kuuwa? Ina maana wanaotoa amri kuuwa ndio vilaza zaidi na ndio hatari kuliko polisi wenyewe. Hapa serikali inayoongozwa na ccm haiwezi kukwepa lawama, hata kama propaganga za Nape zinataka umma uelewe vinginezyo.
 
Back
Top Bottom