Recent content by Kigogo333

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Maabara watoa dukuduku lao, kuhusu sakata la utoaji majibu yasiyo sahihi katika Vituo vya Afya

    Hili nikweli kabisa unamkuta mtu professional yake ni nurse,co au yeyote ilimuladi kaelekezwa namna kutumia kipimo basi yeye nikutumia Tu , principle ya kipimo hajui aandaeje huo mkojo au dama ili pate majibu sahii hajui yy nikuwekatu itakavyo soma ivo ivo anakutupia majibu yakoo hili swala...
  2. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kiongozi wako wa Mtaa alikuahidi nini? Je, ametimiza?

    😂😂😂😂 Dah uyoo ndo mwenyew au wew unakaje nn inafurahisha 🤔
  3. K

    JamiiForums Tanzania Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda

    Hatarii sana 😭
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

    Hawa ndo wale unasikia kapigwa vis 25 unashangaa imrkuaje kumbe ndo hivi hivi, so hawa watu nimtihani Sana ,sema nivigum kukubaliana na hiii situation but jiaandae kisaikolijia ndo mmesha achana usifoce
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MSAADA: Utukutu wa mtoto wa ndugu yangu unanishinda, anafanya matukio kila kukicha, nifanyaje?

    Nafikili namna nzuri nikumubadilishia mazingila ambapo atakuwa ni mgeni mpeleke hata kigoma huko baada ya mda tena mbadilishie mazingila tena. Maana akiendelea kukaa hapo tayali anakampani kashaitengeneza na kuiacha nivigum tumia hii itakusaidi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mnaosafiri kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo kuzingatia mambo haya...

    😹😹😹😹😹😹 Bongo sitokuja nihamee mm
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepewa habari kuwa mume wangu ananisaliti, naomba ushauri jinsi ya kusahau jambo hili

    Polee Sana dad poleee! Hii ni situation ngumu Sana na mbaya Kui, Handle kaa utuliee ongea hii shida Kwa watu mbali mbali utapata msaada na utakuwa sawatu
Back
Top Bottom