Kwani ye sio mtanzania
Kwan baba ake kuwa Rais imem disqualify yeye kuwa Rais
Acha porojo na hoja nyepesi
Marekan
Kenya
Malawi
Na kwingine mbona wametokea kwan izo nchi zinaongozwa kisultan
Kama anao uwezo apewe tu
Tatizo mamvi ni mchafu wa roho mbaka Tabia
Ni pale ambapo shetani anajigeuZa malaika na kuwashawishi binadamu kumwona yeye ndo mwokozi wao
Neno lilinenwa toka mwanzo
Tizama kwa makini waliojivisha ngozi ya kondoo ingali ndan ni mbwa mwitu
Hao matajiri wanataka gesi na mafuta yetu tu ndo ninachoona ukiona kundi la wafanya biashara wakubwa wanajichanga kwa udi na uvumba kumweka mfanyabiashara mwenzao ikulu ni dhahili kuwa wanataka madili yao ya biashara yaende poa
Wanajamvi naomba mnisaidie hasa hasa wanaCCM. Je, unaruhusiwa kurudi jimboni kwako endapo ukibwagwa kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka mgombea urais ndani chama?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.