Taarifa ya Mkutano wa hadhara Kata ya Ngarenaro - Arusha Mjini

Taarifa ya Mkutano wa hadhara Kata ya Ngarenaro - Arusha Mjini

mozes

Senior Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
115
Reaction score
21
KUTAKUA NA MKUTANO WA HADHARA WA CHADEMA (W) YA ARUSHA MJINI KATA YA NGARENARO, VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI NGARENARO, IJUMAA TAREHE 05.06.2015 KUANZIA SAA 8:00 MCHANA HADI SAA 12:00 JIONI

Wanachama, Wapenzi, Wafuasi wa CHADEMA & Wananchi wapenda mabadiliko

Wahutubiaji: GODBLESS J. LEMA (MB), MAKAMU M/KITI BARA PROFESA ABDALLAH SAFARI , MWENYEKITI WA BAWACHA (T) HALIMA JAMES MDEE (MB), JOSEPH HAULE aka PROFESA J aka The Heavy weight MC, Wabunge 13 wa Kanda ya Kaskazini akiwemo PHILEMON NDESAMBURO, GRECE KIWELU, LUCY OWENYA, JOSHUA NASSARI, PAULINE GEKULU, CECILIA DANIEL PARESO, JOSEPH ROMAN SELASINI, MCH ISRAEL YOHANE NATSE, JOYCE MUKYA, REBECA MNGODO,

Wananchi wote mnakaribishwa kuhudhuria bila kukosa

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mawasilianao.
WILAYA YA ARUSHA MJINI
chademaarushamjini@gmail.com
 
Ngojea tuangalie mahudhurio kama yatafikia ule mkutano wa kihistoria wa Rais ajae Lowasa pale Sheikh Amri Abeid,,,Wana Arusha wameichoka sana Chadema
 
Ngojea tuangalie mahudhurio kama yatafikia ule mkutano wa kihistoria wa Rais ajae Lowasa pale Sheikh Amri Abeid,,,Wana Arusha wameichoka sana Chadema

Kwani na huu mkutano kuna Watu wanasobwa kutoka nje ya Arusha au?
 
Ngojea tuangalie mahudhurio kama yatafikia ule mkutano wa kihistoria wa Rais ajae Lowasa pale Sheikh Amri Abeid,,,Wana Arusha wameichoka sana Chadema

Nanyie siku hizi mmekubali wingi wa watu nI afya ya mkutano na kuonyesha uungwaji mkono! Hahaha!
 
Hivi bunge la bajeti ndo limepotezewa kabisa!

Wabunge hawakai bungeni kabisa.
 
Huu ni mkutano ambao wananchi watakuja wenyewe bila kulipwa
 
Lema amepanic anakuja kupima upepo , hali ikoje baada ya sumu ya edo
 
LEMA atatumia mkutano huu, kuwaaga wana Arusha, Ameshasoma alama za nyakati.

Philemon Mollel ndiye Mbunge ajaye!
 
Back
Top Bottom