Habari wanajamvi!
Naomba ushauri,nimejiuliza muda mrefu sana na Leo nimeamua kupiga moyo konde kuuliza ili kupata ushauri utakao nipa ahueni ya maisha...
Umri wangu unaanzia na namba3, utata huu ulianzia mwaka 2009 nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu kimoja hapa nchini,nlikutana na binti...