Recent content by kigambonian

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maneno "sex maniac"

    wewe ni mjinga kwanza ni jambo la kheli maana ikifikiwa watu wakapima DNA kuna kuwa na shida tayari , kwa hiyo hiyo takwimu hata ingekua 99% ni sawa . fikiria kwa makini wanaoenda kupima DNA wanasababu zipi ?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

    bangi ni starehe nzuri sana kushinda mipombe tena kula kijiti na miwa/juice ni shidaa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naongea nae sana, namuelekeza sana lakini habadiriki, nawaza kuachana nae

    ndoa kaka ni shida hizo ni bongo mbili tofauti,jitahidi kuacha yale unayoona hayana madhara katika familia yapite hivyo hivyo . ila ukitaka unachofikiria kiwe hivyo ndoa itakushinda soon
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    mkuu super sub kweli anaweza juta sana akikuta kweupe
  5. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    ningefurahi zaidi kwa lipumba angejivua na huo uprofesa wake kama alishindwa kutambua hicho anachokisema leo; je? nani ataamini na tafiti zake anazosema anaenda kuzifanya. Prof. nakushauri rudi Tabora
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hakuna kama wewe

    Dr yuko kwenye wakati mgumu sana kwanza; anakipenda chama hivyo anaona akijiuzuru anaweza bomoa chama alichotumia nguvu kukijenga pili ; hapati picha chama kitasimamia misingi ipi baada ya uchaguzi kupita tatu ; hii kamari iliyochezwa ikitoa matokeo hasi nani atalaumiwa ili chadema kiweze...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    hii ilikua lazima maana walikurupuka kumkubali lowasa bila kufikiria itakuaje baada ya uchaguzi ndio maana Dr slaa alishtuka mapema
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Nguvu ya dr slaa inaonekana dhahiri kwa nyinyi mnaopinga maamuzi yake.na hili linaonekana wazi chadema bado inamhitaji sana kuliko anavyo ihitaji kwa sasa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    EL sio mfia chama kama Dr ni jambo la muda tu Slaa ataonekana mshindi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    mkuu ulichoandika ndicho ninachofikiri kila siku toka lowasa amepokelewa;Chadema baada ya uchaguzi kitakua chama cha kawaida labda kama wakishinda uchaguzi wakaonyesha kwa vitendo kuwa wanapingana na ufisadi ila ikitokea wameshindwa chama kitakosa sera kabisa ,
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa atakuwa adui namba 4 kati ya maadui wa 3 wa Mwl Nyerere

    Mie nadhani heshima kwa Dr ibaki palepale kwa sababu kafanya makubwa katika chama. ila kuanza kumkeli na kumtusi wakati hajatoa tamko lolote ni ukosefu wa nidhamu , mbaya zaidi unafikiri slaa hana madhara angekua ni wa kawaida kama wewe kusingekua na shahuku ya kutaka kusikia chochote kutoka kwake
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dr. W Slaa Ninayemfahamu!

    mie naona baada ya uchaguzi matokeo yakiwa tofauti lowasa abaki kama mwanachama wa kawaida
  13. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Ashauri serikali ya Tanzania kusaidiana na Kenya dhidi Alshabab

    We utakua sio mzima umejaa udini
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kugawa Kofia za Katiba pendekezwa badala ya Katiba pendekezwa

    Hizo kofia mbona zinatulazimisha tuchague ndiyo kwa nini zisinge andikwa yes or no kuwapa watu uhuru maana wajinga watapiga ndiyo bila kujua wanachagua nn
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    Ukiona mtu anashabikia ccm jua anamapungufu kwenye kufikiri sio bure
Back
Top Bottom