Recent content by kifuswe

  1. K

    Ni nani aliyeanzisha biashara ya parking Muhimbili?

    Ni nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI? Pesa inayopatikana inamnufaisha nani? Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu? Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
  2. K

    Padre Kitima: Kanisa Katoliki ni Taasisi kubwa yenye kila mizizi hadi ngazi ya kaya na hatubahatishi

    Kama mpaka wewe mwandishi wa msg hii amekufundisha basi kati ya mwanafunzi na mwalimu aidha kulikuwa na njia ya ufundishaji au mfundishwaj hakujenhwa aelewe Bali kukariri na kutotumia akili yake
  3. K

    Ni katiba mpya pekee itayoweza kuzuia ufisadi huu unaoenda kufanyika vinginevyo ni ni maumivu kwa taifa letu

    Kwa chadema wakizungumza katiba mpya wao wana agenda zao za siri za mambo machache wanayotaka. 1.Tume huru ya uchaguzi, ambayo wasimamizi wa uchaguzi watajitokeza wachaga wengiiii ili matokeo watangaze wachaga wenzao washind. 2. Kumpunguzia Rais madaraka,hili lipo kimtego, incase (haitokuja...
  4. K

    Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

    Wonders???? Kutuachia deni lisilolipika wakati miradi alojidai anaitekeleza hamna hata1 nalimaliza na pesa hazijulikani zimeenda wap. Kichaa
  5. K

    CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

    Vichaa dalili zao nyingi, Kichaa hagombani na kichaa mwenzie
  6. K

    CAG: Uwanja wa Ndege Chato ni mradi usio na faida

    Na kila mtu atalipwa kwa aliyoyatenda.Usisahau hilo. Ni Allah huyohuyo aliyemtaja vibaya Firaun mpaka kwenye vitabu vya dini ili watu wajao wajue kuwa Farao alikuwa mbaya. Na Allah kawataja vema watu wema. So, ukiishi vibaya utataja vibaya na ukiishi na watu vizuri utataja vizuri.tujitahidi...
  7. K

    Kinana Aligombea na nani? Kura zilikuwa za nini?

    Kwani wewe jnakuuma mini? Wenyewe Ccm wamepanga mambo yao na wamekamikisha, . Unda chama chako mkuu
  8. K

    Jenerali Ulimwengu: CCM imerekebisha makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 6 iliyopita, ndio sababu imemleta Kinana kukiimarisha!

    Mtu akikujibu MPUMBAVU BABAAKO AU MAMAAKO atakuwa amekutukana? Au utafeel vipi? Coz Ulimwengu ni mtu mzima anaepaswa kuheshimiwa na ana family na watoto.so ukimtusi kwa umri wake basi ukubali wazazi wako kutukanwa pia coz wewe umetukana Mzazi wa wenzio. Yeye ametoa maoni yake, wewe pia una...
  9. K

    Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Hiyo ni namna ya kusafisha njia ya kurudi Chadema ili ashirikiane na mwenyekiti kutumia na kutumbua mihela, mtei hayupo mbowe anatumbua kivyake,so mzee anaona ubalozi umeenda,mke kaenda, tumbo lake bado analo na mnuso upo chadema, so kama Lowasa na sumaye waliitwa mafisadi na wakapokelewa...
  10. K

    Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Cjui aloroga chadema ni nani. !!! Mimi sio wanasiasa lakini kuwasikiliza vijana wa chadema na viongozi wao unaona upuuzi ulio wa wazi kabisa. Hata kama Ccm inafanya vibaya katika mambo fulani lakini ubaya Ccm.ni bora mara1000 kuliko uzuri wa chadema. Mbaya alike Ccm ni nabii kujiunga chadema...
  11. K

    Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Kudai uhuru ni kuwapa wachaga madara, wasipokuwa na madaraka Taifa halipo guru. Ndiomaana hata Lowasa akawa sio mafisadi tena alipojiunga na wachaga wenzie kudai uhuru wa wachaga
  12. K

    Kulikoni Kanisa Katoliki kukosa uwakilishi Mkutano wa Rais Samia na Viongozi wa dini?

    Mbona huulizi madhehebu ya kiislam kukosekana hapo? Au hujui kuwa waislam wana madhehebu mengi na wana viongozi wao ambao pia wanastahiki kutambulika na kualikwa if it's all about madhehebu ya dini
  13. K

    Nchi za Afrika zagawanyika katika upigaji kura kuhusiana na Vita vya Russia na Ukraine, Tanzania yachagua kutofungamana na upande wowote

    Safi sana serikali yetu. Wazungu waachwe wenyewe wafanye mambo yao watakavyo. Wakiamua kuuana na waendelee na wakiamua kuishi ni juu yao. Sisi wameshatuua sana so hatuna urafiki wa kweli na wao hawana urafiki wa kweli na sisi' ndio mana wanatuleta maradhi na vifo kila kukicha
  14. K

    Uonevu mnaomfanyia Mbowe na CHADEMA ipo siku Mungu atajibu mapigo

    Ningekuona unazo akili kama ungeandika kuhusu babaako au mama yako, coz hao wanastahiki utetezi wako kwa 1000000%. Huyo unaejaribu kumtetea hakujui kwa lolote
Back
Top Bottom