Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

Falsafa ya kuteka, kutesa na kuua watu.
Rubbish
Izo falsafa ndo mzuri
Cheki marekani jaribu kupingana nao uone Sasa hivi kama shetani hatokukaribisha kwake

Siku zote mjinga akileta ujinga mjibu kwa ujinga mkubwa ili asiwape wengine ujinga
 
Hofu yangu kama mtachukuwa yake yote ya mwendazake, basi mnakusudia kuidhuru Nchi, lawama anazopewa mtu mwenye akili timamu hawezi kumhusisha nae, kimekufa kabla ya kuanza!
 
Wasukuma wametapakaa KILA mahali kama wakulima KILA mkoa unawakuta kama wafanyabiashara wa kichaga vile!!
Acha porojo wewe Wasukuma wangekuwa wakulima hodari kwao kusingekuwa na njaa,hebu jiulize katika hiyo Mikoa niliyoitaja kuna Mkoa wowote huwa unaagiza chakula kutoka mkoa mwingine au nchi jirani??? Usipende kukariri kariri kama Magufuri maisha hayaendi hivyo.
 
Kanda ya ziwa ungekua inadharaulika KWA kiwango unachoonesha humu Nadhani jpm asinge pitishwa na CHAMA kuwa mgombea na Raisi Baadae!!!maana Lowasa aliwakilisha kaskazini yote na nasaba za HUKO wakati jpm aliwakilisha kanda ya ziwa na nasaba zote Ili ku balance equation!!!kanda ya ziwa dominant ni sukuma na kaskazini dominant ni chaga!!!na wote hao wameenea nchi nzima kama wakulima wafugaji na wafanya Biashara wafugaji!!!labda utaelewa hiyo mikoa yote uliyoitaja wasukuma na wachaga wamo kama dominant kwenye uchumi husika wa mikoa hiyo na wanagawa kura WAKATI wa chaguzi zetu!!!
 
Sisi Tanzania hatudharau mtu,kabila wala kanda anyotokea(Soma Katiba ya JMT ya 1977 ibara 12 na 13) sema ushamba huu wa kuchafuana na kuona kuwa bila kabila fulani Tanzania haiwezi songa mbele umeanza awamu ya tano kitu ambacho hakijawahi tokea Tanzania,kwa hiyo mimi sidharau kanda ya ziwa bali nadharau na kulaani vikali matendo ya awamu ya tano.
 
Wewe ndo hujui wewe cheki tu kidogo alivyo simama gwajima Na falsafa ya magufuli ya kupinga Corona watu wengi walimkubali Na wengine kumpokea kama rais chuki zako tu ndo zinakufanya useme Ivo ila ukweli ndo uo magufuli alipendwa Na watu wengi saana
Hujui ulisemalo....
 
Acha porojo wewe Wasukuma wangekuwa wakulima hodari kwao kusingekuwa na njaa,hebu jiulize katika hiyo Mikoa niliyoitaja kuna Mkoa wowote huwa unaagiza chakula kutoka mkoa mwingine au nchi jirani??? Usipende kukariri kariri kama Magufuri maisha hayaendi hivyo.
Mikoa yote inayozalisha kwa wingi imekaliwa na wasukuma. Mbeya Mbalali, Rukwa, Katavi, Morogoro na wilaya za Bahi, Kasulu, kibondo, Manyoni. Sasa hivi wameiteka Lindi.
 
Kanda ya ziwa ungekua inadharaulika KWA kiwango unachoonesha humu Nadhani jpm asinge pitishwa na CHAMA kuwa mgombea na Raisi Baadae!!!maana Lowasa aliwakilisha kaskazini yote na nasaba za HUKO wakati jpm aliwakilisha kanda ya ziwa na nasaba zote Ili ku balance equation!!!kanda ya ziwa dominant ni sukuma na kaskazini dominant ni chaga!!!na wote hao wameenea nchi nzima kama wakulima wafugaji na wafanya Biashara wafugaji!!!labda utaelewa hiyo mikoa yote uliyoitaja wasukuma na wachaga wamo kama dominant kwenye uchumi husika wa mikoa hiyo na wanagawa kura WAKATI wa chaguzi zetu!!!
Tofauti ya wasukuma na wachaga ni kwamba wasukuma wanakamata ardhi kubwa kubwa huku wachaga wakibaki mijini na biashara.Tajiri nani hapo????
 
Mikoa yote inayozalisha kwa wingi imekaliwa na wasukuma. Mbeya Mbalali, Rukwa, Katavi, Morogoro na wilaya za Bahi, Kasulu, kibondo, Manyoni. Sasa hivi wameiteka Lindi.
Kabla Wasukuma hawajakimbilia huko kutafuta chakula na malisho ya mifugo yao je watu wa huko walikuwa hawalimi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom