Mimi nahisi kwa sababu ishakuwa CHATA kubwa ktk madili. Baadhi ya watu wanaanzisha madili yao halafu wanai publish kuwa ni dili la Ridhiwani ili lisipekenyuliwe mambo ya kodi na kadhalika. Kiufupi liogopwe. Monotoring wanaifanyaje? Mimi sitaki kuamini hivyo.
Hii habari ya prof. Asad imepostiwa kama vichapisho. Ukimuuliza atakwambia sio yeye. Watu wanatumia tu jina lake. Siamini kama Prof. Anawezaisahau AUDITING kwa kiwango cha lami.
Tunatafuta mwekezaji. Je, tulikuwa na HADIDU ZA REJEA? Yaani Client's requirements? Kwa lugha nyepesi ni vitu gani...
Mawakili wanaoshitaki wenyewe hawana hofu. Wewe hofu ya nini. Subiri hukumu. Iwe masika kuna nafasi ya kukata rufaa. Iwe kiangazi kuna nafasi ya kukata rufaa. Jiandae tu kwa lolote kati ya kushinda au kushindwa. Rufaa ni haki ya wote. Mguu sawaaa!
Mwanaume mfupi utampenda uzeeni. Anakuwa imara. Tafuta pesa acha kutafuta wanawake. Ukishakuwa na pesa hawa WATU watakutafuta then utafanya kazi ya kuchagua wa kuishi nae. Wengine utapitia tu.
Bandali tumeipa mgongo naona sasa tumegeukia kufaidi unyumba. Hapo ndo nawapendea wsbongo. Hadi nahisi kuchizika kwa raha ya maisha ya wabongo baada ya miaka hamsini ijayo.
Sasa serikali ina dini. Marufuku kusaforisha bidhaa ya nguruwe kupitia bandarini. Iwe chakul, msdawa au bidhaa yoyote ya...
Kwani hao wanawake wanaliwa na wanawake wenzao? Si ni nyie haohao muendako huko waliko. Leteni mipango ya pesa humu acheni kuleta upuuzi mnaoufanya kisha mwanawia nyuma ka inzi wa tandale sokoni.
Mwanamke anapoliwa si ndio sawa kwake sasa mnataka waisho na shidashidaa? Acheni wale maisha, siku...
Hizi principles za kuwekeza kwenye bonds na vipande vya UTT nimezisikia tangia 2003., nikiwa graduate tayari Kabla ya hapo sikuzijua. Lakini sijawahi zifuata. Ila mleta mada namsapoti lakini dah ni ngumu kuzitekeleza ktk umri mkubwa na majukumu mengi. Nashauri vijana mzifuate. Jambo baya...
Acheni kutisha wanunuzi. Wenzenu kununua na kuuza nyumba ndo biashara zinazotuweka mjini. Wauzaji ondokeni na pesa yetu lakini msisahau makandokando yenu. Wanunuzi ingia ktk nyumba yako na maombi ya kuitakasa na kumshukuru Mungu kukuwezesha kupata hela ya kumhamisha huyo MPEMBAAA.
Bandari haijauzwa jamani. Mi mbona sijaona mapene? Nahisi imetolewa bure. Ni ni
Bandari haijauzwa. Wamepewa buuuree. Wakitaka watulipe kodi baada ya kujenga miundombinu. Hata wasipolipa kodi haturuhusiwi kuvunja wala hatuwezi vunja mkataba. Hata wakiitumia hivyohivyo watumie tu. Sisi hatuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.