Recent content by kifuba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msajili alaani vurugu zilizotokea katika mkutano wa wanaosemekana ni viongozi wa CUF na Waandishi

    Kwa taarifa yako tu! Jaji Mutungi na Dk Bana ni majirani huko kwao Maruku Bukoba, unaweza kuona jinsi gani chama kimewekeza pale
  2. K

    JamiiForums Tanzania Clouds hili la Kibonde ni Sahihi?

    clouds+ william malecela wana utetezi wa kidwanzi kweli, utafikiri Bashite kawaroga
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

    Acha umburura wewe tumia walau akili kidogo, unafikiri likizo ni sawa na kwenda mbinguni kwamba siku ya kiama ndo atarudi? binafsi naweza kuomba likizo halafu nikapiga u.turn kutokana na circumstances mbalimbali, we ni mtu mzima ila unatia aibu kwa utetezi wako, kutetea ni haki yako lakini tumia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumdhibiti Makonda, nisisikie mtu akilalamika juu ya madawa ya kulevya!

    Vita unaijua? Huyu anatafuta kiki tu, hata mi naweza kuitisha mkutano na kutaja tu majina
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wema, Zari kuonana 'live' kwenye arobaini ya Nillan

    Mambo ya wamama haya, halafu ni udaku, unachukulia serious!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dawa za Kulevya: Askofu Gwajima atema cheche, adai RC Makonda anatumika

    Hata chizi anaelewa, sasa sijui uelewa wako hapo!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Mnafiki mkubwa, full kujipendekeza
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu Makonda amedharau au kulikashifu bunge hizi ni chuki lakini watashindwa

    Na mtumbuaji alianzia bungeni inawezekana angetumbuliwa mapema na asingefika huko kuwatumbua wenzie.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    Kamwambie yeye sasa huko ulikosoma, kakudanganya na bado unamfollow, nenda kapimwe akili
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu Makonda amedharau au kulikashifu bunge hizi ni chuki lakini watashindwa

    Kikwetu tunamuita "mpali"
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu Makonda amedharau au kulikashifu bunge hizi ni chuki lakini watashindwa

    Unapenda mpaka unatia kinyaa! aargh nosheshemkya
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je Magufuli anayaweza haya?

    Kwa sababu ya ule wimbo unaomtukuza
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watumiaji na wauza madawa ya kulevya wa mikoa mingine wanashughulikiwa na nani?

    Wote anashughulikia yeye, ni mkuu wa mkoa wa Tanzania
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Kaimu Katibu wa Tume ya Mipango Wizara ya Fedha

    Go ahead who cares!
Back
Top Bottom