Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Le mutuz unaishi mjini kwa kujipendekeza
17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg


- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana

le Mutuz
 
Acha umburura wewe tumia walau akili kidogo, unafikiri likizo ni sawa na kwenda mbinguni kwamba siku ya kiama ndo atarudi? binafsi naweza kuomba likizo halafu nikapiga u.turn kutokana na circumstances mbalimbali, we ni mtu mzima ila unatia aibu kwa utetezi wako, kutetea ni haki yako lakini tumia walau logic kidogo, baki kwenye ishu ya msingi acha ku.argue kama kindergarten
 
Huyo Daudi Bashite unayekesha kumtetea si alienda kweli Sauzi kwa akina Kinje halafu kaona upepo wa vyeti umepungua kaamua kurudi kimyakimya km paka wa uswahilini

Kwanza umesoma tu kichwa cha habari bila kusoma habari kamili....vyombo vya habari vinavyoongoza kwa uongo na propaganda ni uhuru na TBCcm

Na ni ww uliyeeneza uongo kwamba kabashite kamepewa Phd Sauzi
 
Duh sasa gazeti kama hilo likifungiwa ni lazima Nyumbu watokwe na mapovu eti serikali inaminya demokrasia. Made in Tanzania.
 
Weezembururuaaaaziii nawe utuombr radhi kuwa na marafiki waliotuhumiwa kuuza ungaa while ulikataaa mwanzon
Na mbaya zaid alimuambia Steve kuwa wema hakuonewa anatumia sababu ye ndo alikuwa anampa.
Nikijaribu ku-conect dots pamoja na uswahiba aliokuwa nao huyu jamaa na mapapa wa unga napata mashaka
 
Back
Top Bottom