Recent content by kifombocheza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Admission postgraduate UDSM 2016

    Kama elimu ni ghali jaribu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Siamini kama kwa utawala huu wa Rais Magufuli kuna Mwanafunzi atakayegoma

    Duuh kuna watu uwezo wa kufikiri mdogo sana... So Rais ana mfukuza mwanafunzi chuo siku hizi? Acha porojo za kisiasa. Moja ni muhimu kama nchi kuwekeza kwa vijana, ni elimu pekee ndio urithi bora kwa watanzania. Mbili Rais mwenyewe amekili kuna matatizo bodi, wizarani na TCU. Tatu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

    Juu ya hili, kimsingi hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi unaoonesha kuwa mafuta ya taa hupunguza ashki. Kilichokuwa kinatokea, sina hakika kama kinaendelea ni imani tu. Nimekula hiyo kitu kwa miaka 6, very disturbing lakini kulikuwa hakuna namna. Na hii imani haikuwa kwa Tanzania tu...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanaume mnaniudhi sana hizo nyege zenu muwe mnagonga kwenye jiwe wakati mwingine zitoke!

    Mko wengi tuna wasaidia tu, acha kelele
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

    Kwa kweli mwanamke asiye na kampododo labda nitumie tu lakini, wale walowahi kuwa wapenzi kama wapenzi na mke kama mke kampododo lazima... Inye ina raha yake bana inakupa hamasa shuka panda, shuka panda
  6. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yaisaidia Tanzania walimu wa science

    Kukurupuka, Ushamba na kukosa taarifa, hawa walimu wa aina hii huja kila mwaka moja. Mbili na bichwa lako looote unaona walimu 52 wanaweza kumaliza tatizo la walimu wa sayansi kwenye shule zaidi ya 1000? Una kurupuka na kuanziasha hoja nyambafu get well informed
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Usiseme labda Biblia wewe thibitisha usemayo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Ina badirika ndio maana kuna madhehebu tofauti ndani ya Uislam
  9. K

    JamiiForums Tanzania Old Skool Bongo Hip-Hop & R n' B

    1.Adhabu gani Mabaga & Nature 2. Zero Mabaga/Nature 3. Msafiri Kwanza Unit 4. Mikononi mwa Polisi 2Proud 5. Kazeze OCG 6. Mtulize Mabaga 7. Nini Chanzo na nyingine nyiiiiingi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wasanii wakongwe na frustration za kufanikiwa

    Just a marketing strategy hakuna ubaya kutumia akaunti ya dogo. Mengine kapuni
  11. K

    JamiiForums Tanzania Open university of Tanzania

    Wanaosoma Open kama wewe ni waliofeli siku zote
  12. K

    JamiiForums Tanzania Open university of Tanzania

    Utakuwa umesoma SAUT ama Tumaini vyuo vya kinyamera na kihuni
  13. K

    JamiiForums Tanzania Open university of Tanzania

    Umesoma machakani chuo hakina hata hakitbuliwi kokote wajikweza nyambafu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

    Kasome acha uongo
Back
Top Bottom