Recent content by KifoLazima

  1. K

    Morogoro Kusini, Wilaya masikini kuliko zote Tanzania

    Kuna Wakati nilipita huko nikifanya utafit kwenye elimu shule za msingi,nikafika mziha mngazi mpaka lumba chin na juu-vp yule mama wanamuita bibi bado yupo? nilisikia habari zake ilikuwa 2009 nilipopita huko !
  2. K

    Kususa kwa Dk. Slaa: Mtumbwi wa kisiasa wa CHADEMA unazama?

    Ukichelewa basi la asubuhi utapanda la jioni..Viva Ukawa Venceremos!
  3. K

    Wakala wa CHADEMA anayefanikiwa kazi aliyotumwa kuiangusha CCM

    Long Live UKAWA Muda ndio huu..
  4. K

    Orodha ya Aibu ya Mafisadi, Hoja ya Zitto, hatima ya Tanzania, tuko hatarini

    Tanzania Yote Yawezekana,hiyo ilikuwa 2007 leo ni 2015...No 10 na 11 wamemnyima namba No 9..Namba 9 anatafuta team mpya..!
  5. K

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Lowasa kuhama CCM na kuhamia UKAWA ni hasara kwa CCM na faida kwa UKAWA na Taifa..!
  6. K

    Habib Mchange: ACT-Wazalendo tutaidhibiti vikali CHADEMA

    Wewe Mchange si uliuza jimbo la kibaha 2010? Kibaha hawajasahau !
  7. K

    Kikwete: Ni vyema taarifa ya CAG juu ya Esrow ikawekwa wazi ili wananchi wajue...

    Kuna Lorry nimeliona dar limeandikwa kiingereza Scumbag Nation! ,I wonder what nation is that..!?
  8. K

    Nami niliichagua CCM

    Petro Eusebius Mselewa umenikumbusha mbali sana tuliahidiwa ahadi hewa tukiwa bado vijana wadogo kabisa wenye ndoto za kujenga nchi yetu ....Siioni TANZANIA YENYE RASILIMALI NA MAENDELEO ENDELEVU WACHACHE WANATAKA KUHODHI KILA KITU KWA AJILI YAO NA VIZAZI VYAO Vijana wamefundishwa Utamaduni...
  9. K

    Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

    Nilisoma Umbwe aka Mti Safi natumai ile shule before ilikuwa ni ya dini kwa mazingira niliyoyakuta Pale.
  10. K

    Dume zima na hirizi kiunoni

    Beware my Dear...You may ---- the Devil himself someday
  11. K

    Kwa CV hii ya Waziri wa Fedha- Tutegemee Kuporomoka zaidi kwa Uchumi Wetu

    Eee Mungu utuepushe yasijirudie ya EPA Kuelekea uchaguzi 2015
  12. K

    Nimepata chama cha kujiunga nacho

    Maamuzi mazuri ndugu..nafahamu uwezo wako na weledi wako kitambo natumai jamii itafaidika na maamuzi yako hasa jamii lengwa ya wasio na sauti..Viva La Amistad
  13. K

    Mambo vp Wanajamvi ,nimetimba Jamii Forum sina biased..niko impartial tupo pamoja till our days.

    Mambo vp Wadau tuko pamoja ndani ya jamvi tusiogope tukumbushane tu kuwa njia ya wote ni moja..Amani kwa Waliotangulia,Maandalizi kwa tuliobakia..Narudia usihanye,hakuna pa kukimbilia kama sio LEO, KESHO, KESHOKUTWA,WIKI IJAYO,MWEZI UJAO,MWAKA KESHO,AU MIAKA MINGI IJAYO.USIJISAHAU.
Back
Top Bottom