kikosi kazi cha tanesco kinapekua ,kinakamata, kinashikilia watu usiku wa manane ! Anashikiliwa na taasisi nyingine nje ya polisi! hii ndo TZ bwana.yetu macho na masikio. DR.Mwigulu upo hapo?
Mabindi wamewagomea mnahangaika kuoa wajane kwa gharama kubwa. bado hamjajua tu kuwa kuuza mgombea wa ccm ni sawa na kuuzwa kipola ? nani ashoboke na ccm inayo tumia mabilion kumpata member mmoja. Nimeamini hakuna marefu yasiyo na ncha.
Hayo ni matokeo ya kufanya siasa bila elimu ya uraia. katiba ni mkataba kati ya watawala na watawaliwa katiba inasema serikali itapata madaraka kwa wananchi na itawajibika kwa wananchi na si kwa chama wala ilani ya chama.viongozi wote tangu raisi hadi mwenyekiti wa kijiji na matunda ya katiba...
Kwa upinzani ni kupindi cha mpito tu .lakini fikiria Chama kikongwe kinategemea kubebwa na polisi kuna chama tena?ccm vikao vimekufa yamebaki maagizo tu kutoka juu, chama chenyewe kipo mfukoni mwa jamaa. huwezi modify kama huna mtindio wa ubongo.
unamdai mtu ng"ombe wakubwa wawili , unaalika majirani kuswaga na kamba mkononi ,hatimae unarudi na paka mmoja mdogo. oh rudi na kelele za shangwe na nderemooooo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.