Hamahama ya wanasiasa : Kuanzia kurejea kwa Mpendazoe hadi Wema CCM tujiulize kuna asset hapo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Binafsi bado nawakubali wapinzani wawili tu ambao ni wazi kabisa hawa ni asset kwa CCM japokuwa mmoja bado hajachukuwa kadi lakini anatekeleza ilani ya CCM huko serikalini. Hapa nawazungumzia Prof Kitila Mkumbo na mama Anna Mghwira waliotokea ACT wazalendo, lakini hao wengine kutokea UKAWA bado nawaona kama mikia imekatika. Kiukweli tufike pahala tusiirejeshe CCM kuwa kama kokoro ni lazima hawa wahamiaji tuwachuje vizuri, maana hii ni CCM mpya siyo ile kuukuu. Nawasilisha!!
 
Jahazi linazama hilo, si Kila ushauri mnahisi ni utumbo!, kazi kwenu, atabaki Lowassa peke yake
 
Huyu jamaa kabutua kisiasa hajajijenga na kuwa na ushawashi hata tobo tu ya zito.
 
Hili ni funzo kwa serikali kwa kile wanachowafanyia wapinzani,warudi wote ccm waanze harakati ndani ya chama ili kife.
 
Jahazi linazama hilo, si Kila ushauri mnahisi ni utumbo!, kazi kwenu, atabaki Lowassa peke yake
Lowassa atabaki wapi peke yake?!!!......... Ni swala la muda tu na huenda ameshatuma maombi ya kurejea nyumbani si ulimsikia Gambo!!!
 
Jahazi linazama hilo, si Kila ushauri mnahisi ni utumbo!, kazi kwenu, atabaki Lowassa peke yake
Wewe hujui mbele wala nyuma! Umewahi kushauri nini wewe?wewe hata kunyoa huko chini hujaweza ndiyo unajifanya uliwashauri watu wenye elimu zao?choko!
 
Huwa najiuliza wanapewa nini au kutishwa kitu gani mpaka kuachia madaraka yao?
In fact wanaliingizia gharama taifa na walipa kodi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huwa najiuliza wanapewa nini au kutishwa kitu gani mpaka kuachia madaraka yao?
In fact wanaliingizia gharama taifa na walipa kodi.
Kumbuka Arusha mtu alifungiwa shule , Wema lipstick ilifungiwa, wengine wamevurugiwa mashamba yao, kwa sharti ama watoke upinzani na kuukana pia!!
 
Back
Top Bottom