Rais futa Chaguzi !!!

Kikarara78

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
1,496
2,000
Kwako Rais,
Pole sana na Majukumu ya kuongoza Taifa, si kazi ndogo, Pili nikupongeze kwa juhudi nzuri za kuongoza iwapo nawe ni Binadamu kama mimi na yule na mwingine.

Niende moja kwa moja kwenye Hoja yangu. Najikita kwenye Hoja ya Uchaguzi na Chaguzi. Kila mtu tunajua kila Chaguzi na Uchaguzi unapofanyika ni Mapesa mengi sana yanatumika ya Mlipa Kodi ambae ni Mimi na Wewe Rais na Mwananchi. Ili uweze kuokoa mapesa mengi ya Mwananchi nakuomba ufute hizi Chaguzi, Kama ulivyopiga marufuku Siasa mpaka 2020, pia piga marufuku Chaguzi zozote mpaka 2020. Mimi binafsi Rais sioni maana tena ya hizi Chaguzi, maana mawazo na maoni yetu Wananchi hayaheshimiwi tena.

My Take: Nina uhuru wa kutoa maoni yangu.
 

cosmonaut

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
1,340
2,000
N kweli aiseee chaguzi za ubunge, udiwani zibigwe bani hadi 2020 atleast
Hazina tija kwa mwananchi mnyonge unaye mpigania.....
wote tunajua jinsi wabunge walivyo wapiga porojo tu bungeni........Hamna tija
 

Lapdown

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
353
500
Unamtaja raisi nani? Au yule mwehu aliyeokotewa Hiyo nafasi na jinga moja lililokuwa linaitwa lubuva?
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
8,706
2,000
N kweli aiseee chaguzi za ubunge, udiwani zibigwe bani hadi 2020 atleast
Hazina tija kwa mwananchi mnyonge unaye mpigania.....
wote tunajua jinsi wabunge walivyo wapiga porojo tu bungeni........Hamna tija
Siyo zifutwe hadi 2020 mazee. Binafsi napendekeza zifutwe hadi 2025, maana hapo 2020 naona giza tupu. Mkulu amedhamiria kushinda kwa 1000℅ urais, wabunge na madiwani.

Mnakumbuka Makala ameomba radhi??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom