News Alert: Sheria ni msumeno kuna mtego kuwa makini

Dec 23, 2017
35
69
[HASHTAG]#Nimeona[/HASHTAG] niongee kidogo kuhus hili la Maandamano.

Nimekuwa nikisikia kuwa kwa Tanzania maandamano ni haki ya kikatiba. Nimewahi kuisoma katiba yote ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania sijawahi kukutana na neno maandamano.

Nikichokikuta na ambacho wengi wanakisimamia na kukiita ni maandamano ni ibara ya 20 ya katiba yetu ambayo inasema nanukuu:-

" Ibara ya 20.

Ibara ndogo ya (1),
Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani, na hasa zaidi kuanzisha au kujiunga na vyama au mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mengineyo." Mwisho wa kunukuu.

Hiki ndicho kipengele ambacho huwa tunadai kuwa kinatupa uhuru wa kuandamana. Sidhani kama tupo sahihi sana maana tunaambiwa kuwa bila kuvunja sheria tunaweza kukutana na kutoa mawazo yetu.

#Je wananchi wanafahamu ni wakati gani wanavunja sheria pindi wanapokutana? Ibara ya 30 ya katiba hiyo hiyo bila kuathiri masharti yake inatoa hadhari na mipaka ya uhuru wa mtu binafsi. Tukumbuke sio wote wanaotaka kuandamana hivyo swala la kuandamana ni utashi wa mtu binafsi ambayo ibara hiyo inasema maswala ya mtu binafsi yasiingilie uhuru na haki za umma.

Ibara hiyo inasema:-

" Ibara ya 30.

Ibara ndogo ya (1),
Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma." Mwisho wa Kunukuu.

[HASHTAG]#Huu[/HASHTAG] ndio mtego ambao kabla ya kuandamana tunapaswa kuutegua. Hoja zetu za maandamano ni za msingi sana ila katiba inatuzuia kufanya tunayoyafikiria kuyafanya.Nakuambia tena hoja zetu ni nzito kweli na hazijibiki kirahisi ila tuwe na angalizo.

[HASHTAG]#SHERIA[/HASHTAG] ZA NCHI ZINASEMAJE?

Sheria ya jeshi la Polisi ya mwaka 1961 na marekebisho yake ya mwaka 1995 ambayo kwayo ndio tunayoifuata hadi sasa inatoa njia na namna ya kuendesha maandamano nchini. Inasema nanukuu:-.

[HASHTAG]#Sheria[/HASHTAG] Na. 64 ya 1961 kifungu cha 5; 3 cha 1995.

(1) Mtu yeyote ambaye ana mpango wa kufanya, kukusanya, kuunda au kupanga mkusanyiko au maandamano ya hadhara , kwa muda usiopungua saa48 kabla ya mkusanyiko au maandamano kwa muda uliopangwa kuanza, atawasilisha kwa maandishi notisi kuhusu kufanyika kwa mkusanyiko au maandamano hayo kwa afisa polisi msimamizi wa eneo hilo akianisha:-

(a) sehemu na muda ambao mkutano utafanyika;

(b) dhumuni kwa ujumla kuhusu mkutano huo; na

(c) maelezo mengine kama Waziri atakavyotangaza kwa notisi, mara kwa mara kwenye gazeti la Serikali, kuainisha.

(2) Pale ambapo mtu anawasilisha taarifa kulingana na kifungu kidogo cha (1), anaweza kuendelea kuitisha, kukusanya, kuunda au kuandaa mkusanyiko au maandamano hayo kama yalivyopangwa isipokuwa na mpaka atakapopokea amri kutoka kwa afisa polisi msimamizi wa eneo ikielekeza kwamba mkusanyiko au maandamano hayo hayatafanyika kama ilivyotaarifiwa.

(3) Afisa polisi ambaye taarifa imewasilishwa kwake kulingana na kifungu kidogo cha (1), hatatoa amri ya kusitisha chini ya kifungu kidogo cha(2) kulingana na taarifa isipokuwa ameridhika kwamba kufanyika kwa mkusanyiko au maandamano hayo kuna uwezekano wa kusababisha kuvunjika kwa amani au kuathiri usalama wa taifa au kudumisha amri kwa umma au kutumika kwa dhumuni lolote lisilokuwa halali."

Hiyo ndio sheria inayoliongoza jeshi letu la polisi.

[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] maana rahisi maandamano ni mpaka jeshi la polisi likubali na litoe kibali baada ya waandamanaji kuomba kibali hicho.

[HASHTAG]#Kwa[/HASHTAG] vyovyote vile maandamano hayo yanapaswa jeshi la Polisi lijiridhishe pasipo na Shaka kuwa hayatasababisha madhara yoyote na hayata ingilia haki za watu wengine ambao hawataki kuandamana. Huu ni mtego niliokuwa nawaambia...

[HASHTAG]#NINI[/HASHTAG] KINAWEZA KUTOKEA?

Kinachoweza kutokea baada ya katazo la jeshi la Polisi ni watu wenye nia ya kuandamana kutaka kuandamana kwa nguvu. Ukifanya hivyo moja kwa moja utakuwa unatenda kosa la UHAIN ambalo ndio kosa kubwa kuliko yote nchini kwa mujibu wa ibara ya 28 ya katiba yetu.

Sheria inatuambia kwamba kama ukifanya yafuatayo utakuwa umefanya uhaini katika nchi yako.

( a ) Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya muungano au popote akajaribu kumuua rais atakuwa ametenda uhaini.

( b ) Pia mtu yeyote aliye ndani ya Jamhuri ya muungano au popote na akaanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya muungano atakuwa naye ametenda kosa la uhaini.

( c ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri, kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, au kufungwa kwa rais atakuwa ametenda uhaini.

( d ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondoa rais madarakani visivyo halali atakuwa ametenda uhaini.

( e ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano au popote ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kumwondolea rais heshima na jina la mkuu wa nchi, amiri jeshi mkuu, au kiongozi wa serikali atakuwa ametenda kosa la uhaini.

( f ) Mtu yeyote ambaye yuko ndani ya Jamhuri ya muungano ambaye atajenga, kusababisha au kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kupindua serikiali iliyo madarakani, kutishia serikali, bunge au mahakama atakuwa ametenda kosa la uhaini.

Rudia kusoma kipengele D Hadi ukielewe ukishindwa mwite na Mwenzako mkisome kwa pamoja.

[HASHTAG]#NINI[/HASHTAG] KINAWEZA KUFANYIKA.

Aidha watu wakubali kufanya kosa la Kihaini na kukabiliana na matokeo yake au wajipange upya.

[HASHTAG]#Kujipanga[/HASHTAG] upya ni kuanzia kwenye katiba kuirekebisha na kwenye sheria zetu kwanza.

Vinginevyo mtego unaweza kunasa mtu hapa.

[HASHTAG]#Nimetahadharisha[/HASHTAG] tu, si lazima ukubaliane na mimi.
 
Tafuta precedents usome kuna full tafsiri ya hivyo vyote unavyoviogopa. Make your homework on that... case laws on the subject
 
hatupoi.....

26-04, mtu anaolewa nje ya geti na kurushiwa virago vyake, tayari kwa safari ya kijijini.
 
Wangeongezea ibara nyingine hapo kwamba ata kumtukana kumtisha kukebehi na kutotii amri askari polisi ni uhaini
 
Tafsiri za hivyo vifungu zipo, usiogope. Inajulikana PT hawatoi kibali na hawajawahi kutoa kibali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom