Recent content by kifimbo5

  1. K

    RC Mjema alalamika viwanda Shinyanga kushindwa kufanya kazi kwa kukosa umeme

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amesema katika Mkoa wa Shinyanga bado kuna tatizo la ukosefu wa huduma ya umeme wa uhakika hasa katika maeneo ya viwanda na migodi hali inayosababisha baadhi ya viwanda kushindwa kufanya kazi na wengine kuzalisha bidhaa kwa zamu sababu umeme...
  2. K

    Wizara ya Nishati kuajiri vijana 139 kusimamia miradi ya Umeme vijijini

    Siku hizi ajira zinatangazwa na Waziri au Wizara sio tena Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma au mimi sijaelewa ni ajira za vijana wake yeye Makamba au vijana wa Tanzania
  3. K

    Pascal Mayala mbona huchambui uamuzi wa Januari Makamba na kampeni yake ya kugawa majiko ya gesi Kanda ya Ziwa

    Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea. Umeaacha wadau wengine humu na Global Tv peke yao Why?
  4. K

    Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

    ITV Super Brand Africa Mashariki imekubali chini ya Makamba kweli R.I.P Dk Reginald Mengi mtetezi wa wanyonge
  5. K

    Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  6. K

    Waziri Bashe: Tutailazimisha Benki Kuu kuipa upendeleo Benki ya Ushirika

    Benki Kuu ya Tanzania imekuwa ikifanya mabadiliko mengi ya kisera na kimfumo bila shinikizo kutoka chombo au mtu yoyote kwa kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na matokeo ya tafiti mbalimbali, BOT imejipatia umaarufu mkubwa kimataifa na kupewa tuzo mbalimbali kutoka taasisi zinazoaminika duniani...
  7. K

    Waziri Bashe anafahamu kazi za Benki Kuu (Central Bank) Duniani?

    Kauli ya Waziri Kilimo Hussein Bashe kuilazimisha na kuishinikiza Benki Kuu ya Tanzania kuacha kusimamia sheria zilizopo na kufanya upendeleo kwa Benki ya Ushirika katika mfumo wa utoaji wa mikopo. 1. Bashe atambue kuwa Benki Kuu ya Tanzania imeanzishwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya...
  8. K

    Mawaziri vinara uchapakazi mzuri chini ya Rais Samia ni wepi tuwataje

    Wadau baada ya Bunge la Bajeti kumaliza tufanye tathmini ya utendaji kazi wa Mawaziri wetu ni mawaziri gani wamevunja rekodi ya utendaji kazi katika kipindi hiki. Tuweke orodha yao
  9. K

    Waziri Bashe aipaka matope Tanzania Kimataifa

    Nimesoma huu uzi kwa makini sana kama Mchumi nimeona wazi Bashe hana uwezo wa hiyo nafasi hiyona wabunge inabidi muwe makini sana kwa mipango anayoileta kwenu namuona ni mtu wa kujivuna tu kwa kiingereza na kuwadharau wenzake bungeni kwamba hawajasoma Form Six lakini ukiangalia kwa ujumla ni...
  10. K

    Taja Wabunge 10 bora katika Bunge la Bajeti 2022, waliobeba hoja nzito za Wananchi

    Bunge la Bajeti liko ukingoni kumalizika ni wabunge gani tunawapa nafasi kumi bora kwa kuwakilisha vema na kubeba hoja zenye maslahi mapana kwa taifa letu
Back
Top Bottom