Recent content by Kifai

  1. Kifai

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni miezi mi nne sasa toka nilipie service line hapa nyakato mwanza, ila kila nikiuliza naambiwa nguzo hakuna wakati nilishasikia mtu akilipia nguzo anatakiwa awe amefungiwa umeme ndani ya wiki moja? embu mniweke sawa kuhusu hilo wanaojua[emoji41] kama haiwezekani mnirudishie hela yangu nikanunue...
  2. Kifai

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kilimanjaro yateua mgombea Jimbo la Siha huku wakisubiri baraka za Kamati Kuu

    Pumbavu kabisa, kamati kuu isikubali hili
  3. Kifai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cha asubuhi sitaki, labda akaoge kwanza

    Wewe hutoi jasho.
  4. Kifai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Mlimani City huwa hakuna mabinti single?

    Endelea kupambana
  5. Kifai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Mlimani City huwa hakuna mabinti single?

    Endelea kupambana
  6. Kifai

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mambo mengi

    Una dada? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kifai

    JamiiForums Tanzania Makinikia special thread 12/06/2017

    Wazungu hapo viroho juu
  8. Kifai

    JamiiForums Tanzania Makinikia special thread 12/06/2017

    Yangu macho
  9. Kifai

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ACACIA ipo katika mkakati wa Kupunguza wafanyakazi 400

    Wamepeleka cv accacia?
  10. Kifai

    JamiiForums Tanzania IKULU: Kamati ya Pili ya Mchanga wa Madini kuwasilisha ripoti yake kwa Rais Magufuli Juni 12

    Weka utabiri wako hapa tuone kama utakuwa sawa na mheshiwa prezidaa juu ya nini atachukua dhidi ya kampuni ya ACACIA
  11. Kifai

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ACACIA ipo katika mkakati wa Kupunguza wafanyakazi 400

    Watu mna roho mbaya sana
  12. Kifai

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya ACACIA ipo katika mkakati wa Kupunguza wafanyakazi 400

    mbona watu mna roho mbaya ya kuwatakia wenzenu kufukuzwa kazi kiasi hicho? Mtu akipoteza kazi wewe inakusaida nini?
  13. Kifai

    JamiiForums Tanzania PPF na NSSF

    Kila kona ya hii nchi ni stress tuuu, jasho lako kulipata tena kwa mbindeee
  14. Kifai

    JamiiForums Tanzania PPF na NSSF

    I mean wale wanaofanya kazi kwenye sekta binafsi, baada ya kukosa kazi huwa wanachukua kile walichokusanya
Back
Top Bottom