Recent content by kifagio

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe ana mtoto nimemuacha na nimemfukuza

    Wewe ungekua na mtoto je? Usijione smart bro dunia ndogo hii utakae mpata mwingine atakuambukiza HIV
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hadithi Ya Kusisimua: Mke wangu nusu jini, nusu mtu

    Alisema itaendelea jumatano
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kusisimua: Nilimsababisha Mateso Mke wangu

    Mbona kama imejirudia? Au macho yangu.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini upange sheria nyumbani kwangu?

    Embu mtimue acha uoga kha! Bora angekua housegrl wake . Shogaa chaaa! Au nyumba kajenga wifi? Mtimue oho ipo cku utamkuta kitandan kwako
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hot story

    Dah roho imeniuma kha! Sekeseke lote hili ni Manka jaman kha
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hot story

    Nyingne sangap mkuu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hot story

    Tuma tuu kwa kweli
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hot story

    Yeuwiii
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hadithi Ya House~gal 02

    Inaendelea sangapi jaman?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Simu ya siri

    Kama hajawa mkeo lazma kuna mambo ya kifamilia ambayo haya kuhusu. By the way angedivert yako ungefanya je
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ukimya wake unaniumiza

    May be ulimuuliza muda ambao hakua vizuri. Jishushe ya ishe kuliko kuendelea kuumia
  12. K

    JamiiForums Tanzania Adhabu yako nitakayokupa itakua ni funga mwaka

    Hyo adhabu labda uhamishie papuch kichwani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bado, gharama za harusi jamani, tafadhali

    Bestman ajihudumie bana
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Oh utakuja kujuta nakwambia bora usingeenda kwa wazaz wake tamaa mbaya mfyuuu.Eti rist taker jipe kiburi tu what if ungekua ni wewe? Kama ndoa ni nvember thc yr inamaana vikao havijaanza? Uctudanganye
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu muhimu kwa hili tafadhali

    Sijui nikuite ----- au nani. Na akili zako zote unataka ukaolewe? Una uhakika gan kama picha ni zakwakwe? Embu tulia
Back
Top Bottom