Ushauri wenu muhimu kwa hili tafadhali

Ushauri wenu muhimu kwa hili tafadhali

Jamani kaka embu simama imara mbona una tamaa. je ukienda hayo yote uliyoahidiwa yakakosa. Kumbuka kilicho wapata wale wanafunzi wa uganda.

this kinda advice was the one i need.!
 
Kuna uzi ushaletwa hapa wa jamaa akisimulia baada ya kukubali kuwa na uchumba na mzungu.

Utachezeshwa porn hadi utashangaa.

Wazungu hawana mpango na waafrica kwa taarifa yako. Kama anasema anakupenda basi kuna kitu anataka kutoka kwako (she wants to use you), au hana sifa za kuolewa huko kwao (bongeto-overweight) hawana deal huko kwao.

Jipange!!
 
Sijui nikuite ----- au nani. Na akili zako zote unataka ukaolewe? Una uhakika gan kama picha ni zakwakwe? Embu tulia
 
WAKUU NASHUKURUNI SANA KWA WALINIPA USHURI MZURI NA KWA WALIO PONDA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE NAO PIA NAWASHUKURU KWANI NI CHANGAMOTO PIA.MAAMUZI NILOCHUKUA NI KUBAKI NA MSUKUMA WANGU TU..NADHANI MNAWAFAHAU WASUKUMA VIZURI. NAOMBENI RADHI KWA WASUKUMA WOTE.

TOPIC CLOSED..!!!!!!:third:
 
mkuu mambo ya internet sijaanza kuyajua jana au leo ni muda mrefu sana na kila siku nashinda net.ishu za scammers nazijua kuliko wewe unavojua.ni hilo tu.

Wajanja ndo wanao pigwa siku zote. Ulishawahi kuona mshamba amegongwa na gari mjini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom