Adhabu yako nitakayokupa itakua ni funga mwaka

baby boy17

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
297
116
Habari za saa hizi bandugu?

Mimi ni mwanafunzi na mambo yanayohusu mapenzi huwa siyapi kipaumbele saana.

Kiukweli naweza kuwa nakupenda kawaida ila swala la kupigiana simu kila muda even kupigana mizinga kwangu halinaga kipaumbele so mapenzi yangu mimi yako more advanced.

Actually nimepitia mahusiano na wakina dada na hata wakina mama even hata vibinti.

Mara nyingi ninapoanzisha uhusiano huwa na jitahidi sana kua mwaminifu kwa mwenzangu kutokana na uaminifu wangu mara nyingi najikuta kale kawimbo ka barnaba kanakoitwa waalade(kama sijakosea kananihusu).

Kutokana na hilo nikaamua sasa kila ninayemwacha lazima apate zawadi yake ila huyu wa sasa ivi adhabu nitakayompa nina uhakika atahadithia hadi kilembwekeza chake hakii ya mama naapa

Mungu nisamehe
 
Eti hadi kilembwe..... mbona wewe hujasimulia dogo?
 
BrH8omXCAAAf9VP.jpg:large
 
Kama Namuona Vile Mtoa Mada,nyie Hili Ni Toto Lisameheni Limepost Kwa Bahat Mbaya
 
Back
Top Bottom