Mtoa mada atakuwa na ugonjwa wa kusahau bila shaka, kwani Dr.Slaa kafukuzwa na nani? amekaa pembeni mwenyewe na akirudi hata leo ataendelea na nafasi yake,au umesikia kuna katibu mkuu mwingine kachaguliwa? Shida nyie watu wa CCM mnadhani mnaweza kutuendesha mtakavyo, kama lini fisi akamwonea...