Lowassa jiandae na mikikimikiki,jipime kama unaweza,kama huwezi kaa pembeni usije singizia watu kwa

Omuchimati

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
427
202
MHE LOWASSA,
Salamu sana MHE,ni siku nyingi sasa sijakuandikia barua binafsi,mimi ni mtanzania mpenda amani mpenda mabadiliko ndugu Mhe,kati ya watu wanaokupenda mimi ni mmoja wapo,nilikupenda toka umaanza kuwa Waziri ndani ya Jamhuri hii ya muungano licha ya kukutwa na kashfa za hapa na pale,kuanzia ndani ya chama chako kwa kuingia mkataba usiokuiwa na manufaa wa kukodisha jengo la umoja wa vijana UVCCM,ilo likapita yakaja mengi mengine ambayo nikiyaandika yote hapa nitakuwa kama mnafiki kwa kutoonyesha upendo wangu kwako.

Lengo mahsusi la waraka huu ni kutoa ushauri wangu kwako mzee wa PEOPLES(sauti ndogooo,Ndugu EDWARD NGOYAYI LOWASSA,umekuwa hodari ulikuwa na afya nzuri,lkn sasa uzee umekuingia,unaumwa mzee wangu,umechoka,unatetemeka pasipo hata kutetemeshwa,unapiga hatua ambazo ukilinganisha na ulivyokuwa zamani saa hivi unanyata,naamini nafsi yako inachukia kwa jinsi ulivyo, kumbuka MUNGU huwa ana mipango yake siku zote tofauti na alivyo binadamu,na ndio maana maandiko huwa yanatushauri kumshirikisha Mungu katika mipango yetu,wewe ulipanga mipango yako kama mwananandamu ,uliutamani URAIS,lakini MUNGU anajua kuwa huwezi kuwa RAIS kulingana na hali yako ilivyo,RAIS wa nchi yoyote ya watu wenye akili na ufahamu lazima awe na kumbukumbu nzuri na afya nzuri,Mzee afya yako imedorora huna kumbukumbu nzuri,uliyoyasema jana leo unayakataa,mengine unawaahidi watu yalishafanyika,mara nyingine huwa nahisi labda uko ndani ya ndoto unaota haujaamka siku ukiamka utawaambia Watanzania hii ilikuwa ni ndoto leo nimeamka,Watanzania naomba mnisamehe kwa kuwashirikisha ndoto hii amabyo imewapotezea mda na wakati wenu,Kama sio dhambi Mhe Lowassa unajiterngenezea dhambi ambayo watanzania hawaitasahau watu wenye mapenzi mema na vyama vya siasa hawatasahau kwa sababu utawaacha wakiwa wamebomoka hawawezi kusimama tena,hata hivyo wameshaanza kubomoka.

Najua unasoma maandiko matakatifu,kama husomi sasa naamini ulipokuwa chuo kikuuu ulipata kusoma soma ingawa saa hivi sitaki kuamini sana kama unayosoma,sababu tangu mwaka 2000,ulianaza kuwa muumini mzuri wa pombe na nyama choma (Mbuzi choma) ambao ulikuwa ukichinja kila mwisho wa wiki ,ukila na kunywa na rafiki zako ambao wanajiita Friends of Lowassa,wakikupa matumaini kuwa ipo siku utakuwa RAIS,lengo sio kuingia katika maisha yako binafsi nataka kukufahamisha tu kuhusu maandiko matakatifu,wakati mmoja mfalme EZEKIAH alitembelewa na nabii wa mwenyezi MUNGU wakati huo akiwa mfalme wa ISRAEL,na kumueleza kuwa amebakisha miaka chache aage dunia, ulikuwa ni ujumbe wa mwenyezi MUNGU,mfalme alishtuka, kumbuka huyu ni mflame huenda angemkamata huyu nabii na kukata kichwa chake,lkn maneno yale yalimchoma akamgeukia MUNGU wake na kumkumbusha MUNGU mema yote aliyoyatenda maishani mwake kwa uchungu akilia,ndipo MUNGU alimuongezea miaka zaidi ya kuishi.

Nakusihi mzee wangu siku zako zimehesabiwa, mngeukie MUNGU,hili naliongea kutoka kwa maono niliyoyapata,najua mtabeza lakini liwekekeni kama kumbukumbu wana JF,siku litakapotokea liwe fundisho kwenu ambao mnamwaacha MUNGU na kuanza kuabudu fedha na wnasiasa,nilitamani nikutane nawe ana kwa ana lakini kulingana na majukumu yangu MZEE EDWARD LOWASSA,hii barua nimependa niweeke ndani atakaeguswa nayo yeyote ambayo yupo karibu yako akupe ushauri umrudie MUNGU wako.

MUNGU AZIDI KUKUBARIKI KATIKA MAISHA YAKO.

Ndimi mtumishi wa MUNGU Josephat.
 
Josephat yupi, Gwajima?!
 
Lowasa mgonjwa hataweza kuzungusha yeye ataburuza mpaka basi kama hata kusimama tu ni shida basi tutalajie mtu kufa kwenye kampeni.
 
masikini mzee wa watu,yeye lengo alilobaki nalo duniani ni moja tu,kuwa rais,,,,safari hii kwenye kampeni machela itahusika....
 
Unajua ikisoma propaganda za kijinga hapa jf unaweza kiamini, ila nimemcheki lowasa vizuri, afya yake ni nzuri mara mia pengine hata kuliko mtoa mada, alafu jamaa anajua kuonge, hasomi anatiririka tu, sio maneno mengi na kucheka cheka,maneno machache lkn point tu" kuna hotuba kamzungumzia prime minister magreth thatchet" simchezo mzee yupo vizuri sana.
 
Magufuli naye ajichunge na kujitathimini maana kile chuma alichowekewa kwenye moyo kinaweza kumuathiri sana, tena sijui kama ataweza kuzunguka nchi nzima....nadhani tunajua Moyo ulivyo...kama haujawahi kuona umasikini wa mtanzania mwenzako huko vijijini na sasa ndo unaenda kuuona kwa mara ya kwanza, Mishipa ya moyo inaweza kuvimba na kupasuka....
 
Lowasa mgonjwa hataweza kuzungusha yeye ataburuza mpaka basi kama hata kusimama tu ni shida basi tutalajie mtu kufa kwenye kampeni.

Kikwete aluekua anaanguka majukwaani kama mtu mwenye degedege mbona hajafa,kikwete ndie bingwa wa kuanguka majukwaani kama mtu mwenye kifafa kama hakufa lowassa hafi maana ni mzima.
 
Lowasa mgonjwa hataweza kuzungusha yeye ataburuza mpaka basi kama hata kusimama tu ni shida basi tutalajie mtu kufa kwenye kampeni.

Nani kakwambia anayekufa ni lazima awe mgonjwa????? wewe unaweza kufa saa yoyote kuanzia sasa kwani ajuae ni Mungu pekee yake
 
Huyu mtoa mada tangu awali mwelekeo wake umeonekana,kwanza niseme tu yeye anajidai anamjua sana Mungu wakati lugha zake tu za kumkejeli Lowassa na kumtukana zinamkosea Mungu,shetani hata siku moja hawezi kutoa ushauri wa kumfwata Mungu,ninachokiona hapa ni WOGA WA CCM juu ya LOWASSA. Niwape pole tu kwani hakuna tena njia ya kumpata ameshawatoka subirini misumari yake,tulieni tuliii iingie mpaka igote.
 
Unajua ikisoma propaganda za kijinga hapa jf unaweza kiamini, ila nimemcheki lowasa vizuri, afya yake ni nzuri mara mia pengine hata kuliko mtoa mada, alafu jamaa anajua kuonge, hasomi anatiririka tu, sio maneno mengi na kucheka cheka,maneno machache lkn point tu" kuna hotuba kamzungumzia prime minister magreth thatchet" simchezo mzee yupo vizuri sana.

Umemcheki vizuri??!!!
Hebu rekebisha hapo asee utadaiwa vitu ambavyo hutoweza kuvitoa mkuu. . . .,
 
daah!! uoga mbaya kwel..
yan cdm mmeanza kuogopa ila hata kama akiumwa leo na kushindwa kwenda kweny kampen cc tutampa kura.
tena nasisitiza hata kwenye kampen acwepo maana Tayar ushind ameshaupata
 
Mtoa mada tema mate chini. Usihukumu mana yawezekana wewe unajiona mzima ndani ya wiki ukawa MAREHEMU JOSEPHAT
 
Huyu mtoa mada tangu awali mwelekeo wake umeonekana,kwanza niseme tu yeye anajidai anamjua sana Mungu wakati lugha zake tu za kumkejeli Lowassa na kumtukana zinamkosea Mungu,shetani hata siku moja hawezi kutoa ushauri wa kumfwata Mungu,ninachokiona hapa ni WOGA WA CCM juu ya LOWASSA. Niwape pole tu kwani hakuna tena njia ya kumpata ameshawatoka subirini misumari yake,tulieni tuliii iingie mpaka igote.

Hiki kijamaa KIJITA nacho kinaleta mambo ya kinabii juu ya Afya ya Mtu! Pamoja na yooote lakini nini kimetokea katika siasa za Tanzania kwa Muda huu! Mungu anajua nini kitakachotokea katika taifa hili na siyo vitisho vya huyu anayejiita nabii!
 
Back
Top Bottom