Nimekubali Magufuli ni intelligent man!

Nimekubali Magufuli ni intelligent man!

Alisema wazi niliwanyoosha wazembe wkt nikitumwa, sasa situmwi, nafanya mwenyewe. kweli nimeona. endelea hivyo hivyo. nenda pale bandarini, angalia tpa yote na tra wafanavyo kazi, halafu uje trl, na kule tazara. wanyoooshe
 
Haijalishi anaongozwa na nani, Wananchi tuna macho na tunaona, tunamjua Magufuli tangu akiwa Waziri, kila Wizara aliyopelekwa aling'ara kwa ufanisi wa kazi hivyo hata kwenye uraisi pia haiwezi kuwa tofauti na ndio maana wengi wetu tukamchagua!
kama wengi wenu mlimchagua magufuli ni
Kwa nini mnakuwa na hofu ktk kuikubali mokutano ya chadema sasa hivi?
 
kama wengi wenu mlimchagua magufuli ni
Kwa nini mnakuwa na hofu ktk kuikubali mokutano ya chadema sasa hivi?

Hakuna huwo muda tena, sasa hivi ni kazi tu kama mnataka mambo ya malumbano hata baada ya uchaguzi kuisha nendeni Kenya huko ndiyo kila siku ni uchaguzi na maandamano ila hapa kwetu ni NOPE!
 
Hao wanaomsifia Magufuli ni wale wale waizi wa KURA lakini mwisho wenu utafika tu. Kama c ufinyu wa ubongo (akili ndogo) ataweza wapi kutembelea Tanzania nzima kwa kushtukizia? Huu ni moto wa karatasi tu,hata siku 100 hazitofika keshalegea,kwanza huko Hazina kaambiwa hakuna hata cent aliyobakisha baba rizi anafukuza wsatu ambao hata mamlaka ya kununua hizo mashine hawana. Ninachojua andikeni mahali nchi inakwenda kusimama kama treni siku c nyingi. wote wamekaa pembeni wamemwachia zigo lote ikiwepo issue ya Zanzibar. Wakati wa ushabiki umekwisha huyu jamaa huko nje ya nchi hana mvuto wala hawamjui sasa pesa anapata wapi? yeye mwenyewe anategemea mshahara? Imekula kwetu!!!!!
 
hawa wezi wanashida sana ... Mmesahau kuwa JK alianza kwa kasi zaidi yake ... Huyu bado anaongozwa remotely from Msoga ... Kasuku anauwezo wa kukariri milio mbali mbali ... wakati Mwingine hujiona kenge eti akinyeshewa na yeye anaingia majini kujiloweka zaidi ... Hili FUTUHI hatulikubali ...

Sema wewe humkubali, usiwasemee wengine. Unakambilia tuu kutoa matusi halafu kichwani huna kitu. Ndo nyie mnaamini Lowasa alijenga shule za kata wakati yeye sio rais, halafu kusema alihusika na Richmond mnakataa kuwa yeye sio mkubwa wa serikali.
 
Hao wanaomsifia Magufuli ni wale wale waizi wa KURA lakini mwisho wenu utafika tu. Kama c ufinyu wa ubongo (akili ndogo) ataweza wapi kutembelea Tanzania nzima kwa kushtukizia? Huu ni moto wa karatasi tu,hata siku 100 hazitofika keshalegea,kwanza huko Hazina kaambiwa hakuna hata cent aliyobakisha baba rizi anafukuza wsatu ambao hata mamlaka ya kununua hizo mashine hawana. Ninachojua andikeni mahali nchi inakwenda kusimama kama treni siku c nyingi. wote wamekaa pembeni wamemwachia zigo lote ikiwepo issue ya Zanzibar. Wakati wa ushabiki umekwisha huyu jamaa huko nje ya nchi hana mvuto wala hawamjui sasa pesa anapata wapi? yeye mwenyewe anategemea mshahara? Imekula kwetu!!!!!

Hatuwahitaji watu wa nje watusaidie hela, kama tukijipanga vizuri tuna kila kitu nchini mwetu ni swala la kukusanya kodi tu vizuri na kuhakikisha zinatumika kwenye mambo ya kimaendeleo!

Vyanzo vya mapato viko vingi sana TanZania fikiria tu nchi karibia 6 zinatumia Bandari yetu kuingiza na kutoa mizigo yao, nchi yetu ni ya 3 au 4 Afrika kwa kuzalisha dhahabu, tuna Tanzanite ambayo inachimbwa Mererani soko la Tanzanite Duniani ni dola zua kimarekani milioni 500 kati ya hizo zinazokuja TZ ni chini ya dola milioni 10 na hizo hazifiki serikalini, tuna watalii karibu milioni 1 wanaotembelea vivutio vyetu ni swala la kusimamia tu fedha za mapato ya utalii na tunaweza kuishi!

Hivyo nasema Magufuli endeleza fagio la chuma najua kuna baadhi watataka kukuhujumu lkn Watz wengi wako pmj nawe na isitoshe wewe ni Raisi nchi!
 
Rais Magufuli leo nimemkubali kwamba ni mtu intelligent sana na hii ni kutokana na uamuzi wake wa leo wa kwenda kutembelea Muhimbili uamuzi aliouchukuwa baada ya kwenda kumtembelea kigogo Bi Bisimba aliyelazwa Hospitali ya Aga Khan ambayo ni Hospitali binafsi sasa najaribu kufikiria kilichokuwa kinaendelea kichwani kwa Magufuli ni kwamba kwa hali ya kawaida huyu Bi. Bisimba alipaswa akalazwe Muhimbili Hospitali ya umma, kwanini akalazwe hospitali binafsi hilo swali alijiuliza Rais Magufuli, ndiyo maana akaamua kuunganisha safari na kwenda Muhimbili kutaka kujua ni kwanini?

Ni mtu intelligent tu ndiyo anayeweza kuoanisha matukio namna hii, kwa mtu wa kawaida kama Mbowe anaweza tu kuponda na kufikiri ni kwa ajili ya show lkn swali linakuja kama ni show kwanini baada ya Aga Khan iwe Muhimbili na siyo Sokoni Kariakoo au kwenye Daladala?
your ability to analyse things/events is weaker than weak
 
hawa wezi wanashida sana ... Mmesahau kuwa JK alianza kwa kasi zaidi yake ... Huyu bado anaongozwa remotely from Msoga ... Kasuku anauwezo wa kukariri milio mbali mbali ... wakati Mwingine hujiona kenge eti akinyeshewa na yeye anaingia majini kujiloweka zaidi ... Hili FUTUHI hatulikubali ...

Kama kumsimamisha mkurugenzi, kuvunja bodi na kuagiza machine zirekebishwe in two weeks ni maekekezo kutoka Msoga...basi natamani aendelee kuongozwa remotely kutoka Msoga
 
Haijalishi anaongozwa na nani, Wananchi tuna macho na tunaona, tunamjua Magufuli tangu akiwa Waziri, kila Wizara aliyopelekwa aling'ara kwa ufanisi wa kazi hivyo hata kwenye uraisi pia haiwezi kuwa tofauti na ndio maana wengi wetu tukamchagua!

Unazungumziaje uongozi Wa Kikwete,? Alikuwa na ufanisi au amemchelewesha Pombe kushika madaraka?
MwanaHalisi linasema JK kaifilisi Hazina ,wewe unaonaje?
 
iwe magufuli kaenda muhimbili kuuza sura au kiinteligent vyovyote vile poa kwa maana risasi imepiga mahali stahiki

tena hizi show move za magufuli ndio kiboko za wafanyakazi sekta ya umma.

tena magufuli naona anatia upole inabidi awe mkorofi maramia

waliimba tutaisoma namba sasa wenyewe ndio wanaisoma namnba....wamelikanyaga lazma wajutie....walidhan watamweka magufuli ili kufanikisha dili na uzembe wao....sasa atawanyoa bila maji
 
Wa zamani wakumbuke hata MH.Mrema alipoteuliwa kwa naibu Waziri Mkuu alifanya hivyo hivyo. Maofisini,Mahospitalini hata viwanja vya ndege.
 
Thinking capacity ya Barbarosa imekuzidi sana, mtu hajipi jina bure, I believe you resemble Zero

Yah, right!!

You won't understand this, quite above your level .... same as Barbarosa. Your problem is when we talk about the Global you guys think we're talking about the earth!! Work up Dude .... We are not in the same league!!
 
Kutembelaa wagonjwa ni vizuri sana hata Mungu ametuagiza kufanya, hivyo, mimi naona atachoka kwani nchi yetu ni kubwa na uongozi ni hekima, busara na sayansi, Hivyo aunde timu binafsi za kumshauri na utekelezaji kuhusu Uchumu, Usalama, Afya, Elimu, Kilimo, Vyote hivi viwe na watu kutoka nje na wachache ndani ya nchi, Nchi za kuchukua hawa wataalam Israel,USA, German, Japani na Singapore.
Akitengeneza timu ya namna hii baada ya miaka miwili tutashudia Tz ikipaa kiuchumi.

Uko sahihi lakini nadhani ameona kabla kazi hiyo haijaikabidhi kwa timu binafsi bora kwanza apate picha halisi ya kazi atakayowapatia ili atengeneze TORs bora na asidanganywe.
 
Futuhi linaendeleo ... Kuvunja Bodi ambayo kimsingi ilishamaliza muda wake!!! Kumtoa Dr Hussein kwa kuwa ni Muislam na kumpa Prof Laurence 3Billion kwakuwa ni mroman mwenzie ...
Kama kumsimamisha mkurugenzi, kuvunja bodi na kuagiza machine zirekebishwe in two weeks ni maekekezo kutoka Msoga...basi natamani aendelee kuongozwa remotely kutoka Msoga
 
Futuhi linaendeleo ... Kuvunja Bodi ambayo kimsingi ilishamaliza muda wake!!! Kumtoa Dr Hussein kwa kuwa ni Muislam na kumpa Prof Laurence 3Billion kwakuwa ni mroman mwenzie ...

You cant defend you point...plain foolish...
 
Kunatofauti ya kuchaguliwa na kuwekwa madarakani kwa wizi wa kura .... CCM ni ile ile ... BTW kwanini Dr Hussein hakupewa mafungu? alisikilizwa? Bandua kibarakashia! Bandika Msalaba ... CCM Oyee
Haijalishi anaongozwa na nani, Wananchi tuna macho na tunaona, tunamjua Magufuli tangu akiwa Waziri, kila Wizara aliyopelekwa aling'ara kwa ufanisi wa kazi hivyo hata kwenye uraisi pia haiwezi kuwa tofauti na ndio maana wengi wetu tukamchagua!
 
kwa akili yako unafikiliaje?
Na kwa akili yako unafikiri kwa akili yangu nilikuwa nafikiria nini na nilitakiwa kufikiria nini?
na hatusemi unafikiliaje tunasema UNAFIKIRIAJE
 
Back
Top Bottom