Recent content by Kidzude

  1. K

    Mbowe pisha damu mpya

    Nadhani damu mpya anzisha chama kipya. Hiki chama kinakufa watapoteza muda kuhombea kwenye chama mfu.
  2. K

    SGR Construction in Tanzania - UPDATES

    nani ankuonea wivu?
  3. K

    Akili kubwa - Kenyan Law Students Beat Havard's in John H. Jackson Moot Court Competition

    kilaza wewe unajua ni kiingereza ndio kimewabeba sio maarifa?
  4. K

    Viongozi wa Serikali wajizuie urge ya kuita Mzungu Beberu

    call them bad names in public and in secret, unless it comes a day when your begging will call for you to eat your shit that futa maneno yako. that will be a total compromise.
  5. K

    Palamagamba Kabudi, Unaivuruga Nchi....!

    ni mwenzetu kweli? sidhani kama ndio aliyomabiwa kwenye dirisha dogo
  6. K

    Tunafuga Joka Linakula Watoto Wetu Tunaliangalia tuu, Wakiisha Tutaliwa Sisi

    Hakuna hekima kwenye siasa. Yaani kama huwezi vumilia Kelli heri uwe mwananchi tu. Ukipigiwa Kira kuwa Atari kugeukwa kama matakwa ya waliokupigia hayatimii. kifupi huwezi kumridhisha binadamu.
  7. K

    Vijana mnaotekwa, zifikirieni familia zenu..

    Unatania mkuu
  8. K

    Africa's 'last great wilderness' in jeopardy as autocratic president plans mega-dam that could bankrupt Tanzania

    Iweje uranium iruhusiwe tena kwa kupunguza ukubwa wa selous halafu dam iwe shida?
  9. K

    Africa's 'last great wilderness' in jeopardy as autocratic president plans mega-dam that could bankrupt Tanzania

    Kiasi cha miti kinachokatwa kwa ajili ya mkaa, Kiasi cha fedha kwa ajili ya kulipa umeme wa mabepari hawakisemi? Tumeongeza idadi ya hifadhi za misitu Tanzania nzima .Hawa UNESCO kama wanaweza, watoe pesa kama grant equivalent to planned investment ili zitumike kuzalisha umeme mbadala.
  10. K

    Rais Mstaafu Mkapa: Rwanda ndiyo nchi pekee barani Afrika kwa sasa yenye Sera nzuri ya Elimu na Afya

    Kipimo cha binadamu ni uvumilivu. Sasa kujua hatua ya ustaarabu angalia mbinu zitumiwazo na jamii husika kutatua matatizo yake. Ukiona hofu na kutosikilizana ndio nmtindo wa maisha, usiige jamii hiyo katu, maana itakuwa inajifanya imeendelea.
Back
Top Bottom