Recent content by KIDUNDULIMA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jitibu U.T.I kwa mmea huu kwa matokeo yenye ufanisi zaidi

    Huu mmea ni tofauti na kashwagara uliovuma sana mwanzoni mwa 2000 kwa ajili ya mchanganyikowa kujifukiza??
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

    Mi nilijihami kwa nyagi siku mbili mfululizo baada ya kuona koo limeanza kuwasha! Siku ya tatu nilikuwa fresh na kuendelea na kazi maka leo hamna kitu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

    Ila hujaona uteuzi wao ulivyokiuka Sheria na taratibu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama huelewi ubaya wa Majimbo ya Lissu, angalia kinachoendelea Ethiopia

    Kajifunze upya historia ya Ethiopia ndo uje ueleze athari za majimbo hapa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Aliniahidi kupokea utajiri kwa panda mbegu ya utajiri (pesa). Mwaka wa tano sasa napigwa. Je, nawezaje kumfungulia mashtaka tapeli huyu?

    Maisha ni foleni by Born Mwaitege. Wakati wako wa kufaniwa bado kukufikia
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mishindo miwili kwa usiku mmoja

    Na ulipata mishindo miwili kwa kuwa mshindo wa kwanda uliukatiza kutokana na kushtuka ila ungelirelax na kufurahia kilichokuwa kinaendelea ungemaliza kuzitoa mbegu zote na mfuko wa mbegu kubaki empty. Ila kwa vile ulishtuka na kukatiza mbegu zisiendelee kutoka ndomana upipopata usingizi...
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mishindo miwili kwa usiku mmoja

    Hiyo ni hali ya kawaida, ndo njia Mungu alitupatia wanaume kutoa mbegu zilizozeeka na kuruhusu nafasi ya mbegu mpya. Kama hujaona na si mzinifu hali hiyo itakutokea mara moja au mbili kwa mwezi. Nikama ilivyo hedhi kwa wanawake Kama hajabeba mimba, yai lilulozeeka hufa na kutoka nje kwa njia ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Umbea tu: Kwa wale vijana wa 1982 (Achana na kilaza Bashite) waliopitia UDSM hasa wa mabibo hostel yule mdada alikua anaitwa kitimoto yu wapi nowdays

    Yupo Dar, huwa tunakutana dukani kwa mangi maeneo ya survey anadrive moja ya gari ya bei mbaya sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Burundi na Rwanda zilikuwa sehemu ya Tanzania?

    kwa Nini usiulize kwamba Tanganyika ilikuwa sehemu ya Burundi au Rwanda?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinahati Kigamboni 7,000,000 TSH

    Nadhani ulimaanisha inapakana na Mkuranga na si Kisarawe
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naona shule zimeanza ukorofi, wanatoza ada ya muhula ambao wanafunzi wamekuwa nyumbani

    Si yameongezeka masaa mawili kufidia muda uliopotea na kufutwa likizo. Maana July likizo ndefu ya mwezi mmoja imefutwa, September wiki mbili zimefutwa na December wiki mbili zimemegwa jumlisha masaa mawili ya ziada. Hivyo ni haki kabisa kulipa ada ya mwaka mzima
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je, Lema atamuomba radhi Tundu Lissu kwa hiki alichomfanyia?

    M Mbona hajanipigia Kama alipigia Kila mtu?
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aiseeh! Mke wa Mtu sumu

    Acha uzushi Mufindi Kijiji gani?
Back
Top Bottom