Recent content by kidumeso

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM vs CHADEMA: Ali Mufuruki amaliza kabisa

    Bwana Ali Mufuruki wewe huwezi kusema neno lolote baya juu ya Makofuli maana nyie ni marafiki na ulisoma secondary moja na darasa moja. Kwa mtizamo wangu your really biased.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Nairobi: Rais Kikwete kutoa hotuba ya kuaga

    Ndugu zangu ni meshindwa kumuelewa Raisi wetu wakati ana hutubia Bunge la Kenya, ametoa ahadi ya kuwauzia umeme na gesi Kenya wakati sisi wenyewe Tanzania tupo Kwenye mgawo wa umeme kwa kipindi kirefu. Hivi huyo alimuandalia hiyo hotuba alizingatia nini.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hospital gani wana huduma ya kusafisha meno?

    AM Hotel wana huduma nzuri ya kusafisha na kung'oa meno.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Achomwa kisu na mpenzi wake Arusha

    Poleni ndugu wafiwa. Sasa wewe mleta habari hiyo picha nyingine ni ya huyo dada muhusika kwenye hayo mauaji.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je ni hatua gani za kufuata kujiindoa NSSF

    Kwandu Ikombe kweli ni mchafu wa tabia, utapeli ni wa mama yake.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Star TV yuko wapi Angelo Mwoleka

    Huyo ni polisi aliyekosa maadili, alifukuzwa kazi wakati akiwa mwadui.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Imani ya ushirikina ulivyoharibu ratiba ya mazishi jana

    Nipo eneo la tukio sasa mganga amefika. Nitazidi kuwapasha yatakayojili.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

    Huyu Le Mutuz ni mtoto wa yule bwana Tingatinga?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda: Mtunza nidhamu za wanafunzi wa Arusha

    Yaani usiombe ukiwa pale uhuru road akikuona anakunyatia mpaka akufikie bro!!!!
  10. K

    JamiiForums Tanzania IGP ateua makamanda wapya wa mikoa, AHMED MSANGI AULA

    Jamani wana jamvi ninachukua furusa hii kumpongeza kijana mchapa kazi yule aliyekuwa RCO Central Ahmed Msangi, ameteuliwa kuwa RPC Mbeya baadaya kuonyesha ufanisi katika utendaji wake. Kweli mungu akutie nguvu kwenye nafasi uliyopewa hasa kutokana kwamba, unakwenda kufanya kazi na vichwa vya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania IGP ateua makamanda wapya wa mikoa, AHMED MSANGI AULA

    Jamani wana jamvi ninachukua furusa hii kumpongeza kijana mchapa kazi yule aliyekuwa RCO Central Ahmed Msangi, ameteuliwa kuwa RPC Mbeya baadaya kuonyesha ufanisi katika utendaji wake. Kweli mungu akutie nguvu kwenye nafasi uliyopewa hasa kutokana kwamba, unakwenda kufanya kazi na vichwa vya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua bilionare Erasto

    Jamani kifo cha huyo kaka kimegusa wengi, huyo aliyetekeleza hayo ni Banjoooooooo yeye kazi ndio hizo, na leo nimemuona hapo mjini karibia na New Arusha anatembea bila wasiwasi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tax exemption for UN Personnel

    Jamani ninaomba kuwasilisha mawazo ya wengi kwenu wana jamii, hivi inakuwaje watu wanaofanya kazi na mashirika ya umoja wa mataifa wanakataliwa kukununua kitu (gari) na kukiingiza nchini bila kulipia ushuru, wakati wafanyakazi wa serikali (Madaktari,Wanajeshi,Walimu n.k) wanapewa kipaumbele...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

    Kova huwa hana busara hata kidogo yeye ni mibavu tu, na hilo siyo kengeza bali miaka ya nyuma ilipokuwa kama sikosei OCD Arusha alifumaniwa na mke wa mtu, na mwenye mke ndiyo aliyempofua hilo jicho, askari wa miaka ya nyuma waliyofanya kazi Arusha wanajua hilo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa members walioko Singapore

    Mkuu nashukuru sana lakini hiyo mitaa mbona siyo mizuri maana shughuli za mtaa huo hazileti picha nzuri hasa ukizingati Malaya na mashoga nido maeneo yao hayo, hivyo basi safri nyingine jaribu kufikia hotel mabayo haipo maeneo hayo, ni wazo tu.
Back
Top Bottom