Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,762
- 8,015
Wapendwa hamjambo!
Nimeajiriwa ktk shirika binafsi na kulazimishwa kujiunga na mfuko huo.
Huu ni mwezi wa kwanza na malengo yangu ni kufanya kazi ya ualimu pindi serikali ikinipangia post. Nikiwa mwl nitajiunga na mfuko mpya, je nihatua gani za kufuata kujiindoa nssf na kujiunga mifuko mingine?
Noni.