Recent content by kidume Akili

  1. K

    Mkwamo katika kuhusu uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda mkoa mwingine

    Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa...
  2. K

    KERO Wahitimu wengi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima tunakwama kutambulika katika Mfumo wa NACTVET

    Kaka kiukweli naomba tusaidike pale taasisis ni kilio nimehangaika imefika mahali nimeona nitulie matokeo kujaziwa imekuwa ngumu kama inavyochimbwa almas mwaduo ,tunaomba pale pale msaada yaaan mmhh ukipata msaada uni Dm
  3. K

    Natafuta mchumba wa kunioa

    Ok,, mungu ni mwema utafanikiwaa
  4. K

    Natafuta mchumba, nimechoka upweke

    Ok hebu naomba tuwasiliane Id lugha nzuri tumezoea pm
  5. K

    Kijue kisiwa cha Ukerewe kwa undani. Kisiwa cha kifahari kilichopo pembezoni mwa jiji la Mwanza

    Hahaa aya mkaruka chilimo karibhu ,, anye ndi bwiro kumulambo Daah huyu bhana kanikumbusha sana sana home hongera hongera sana mleta maada leo nimejisikia amani na furaha kusoma uzi wa nyumbani thanks mr
  6. K

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Aiseee mleta uzi nimemuelewa sana sana maana. hili Jambo limenikumba nipo kwenye mahusiano na single mother ananifosi nimuoe lkn mm ndoto yangu nikuoa ambaye hajazaa pengine Kama nashukuru mkuu nitasimamia msimamo wangu japo sijawahi kumwambia ukweli
  7. K

    Naomba Kusaidiwa Kufahamu ni Makundi gani ya Damu ambayo Watu wenye nayo Hawaruhusiwi/si vyema Kuoana?

    Mkuu naomba namba zako ninayoshida Kama hii mm group A+ wife A- Basi roho juu juuu please Ni pm namba zako utakuwa msaada mkubwa Mnaweza mkaoana watu wa group lolote. Isipokuwa watu wenye blood group O negative hasa hasa wanawake ndo huwa wako special kidogo. Kwanza naomba tuelewe kuna namna 35...
  8. K

    Wanawake acheni kugawa mzigo ovyo

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆🤩🤩
  9. K

    Msaada: Mimi na mwenza wangu tunatofautiana makundi ya damu, nimeambiwa atapata shida wakati wa kujifungua

    Wakuu na mchumba wangu nimempa ujauzito na nilikuwa na process za kufunga ndoa lkn nipo njia panda baada ya kumpeleka clinic kupimwa ukimwi na tukatoka salama wote shida ikatokea upande wa group za damu zimetofautia yy ana group -A afu Mimi group +A Sasa majibu niliyopewa na madokta yananipa...
  10. K

    Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

    Mkuu siyo WAGITA =WAJITA tuko vizuri
  11. K

    Vizinga vya wanawake vimenifanya niwe single

    Habar wakuu.. Mapenz ya zama za zamani yalikuwa mazuri mnoo mana ilikuwa sio rahisi kukutana na meseji za vizinga vya ovyo ovyo mpk inafikia stage mwanaume unaona ngoja nimpatie chochote kitu mubebe huyo. Lakini zama hzi mapenz yamebadilika saana zaid ya sana, mwanamke ukimtongoza leo kesho...
Back
Top Bottom