Recent content by kiduku mpapaso

  1. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Boti iliyozama Kigoma na Watumishi wa afya, Kwanini haikuwa na life jackets?

    Na wanajua kabisa lile ziwa huwa halieleweki mda wowote linavuruga
  2. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa MAKOMBORERO upigwe Marufuku nchini

    Acha wivu
  3. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

    Shabiby nae pale manzese wamechoma mabus moto
  4. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    Mbona wasonjo wako poa sana hawana njaa wale japo ni weusi
  5. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Mbunge wangu huyu wala sio mngine
  6. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Nimeponea tundu la sindano kufa. Serikali ichukue hatua, kuna mlipuko unaua kimya kimya

    Halafu hii hali ndio ninao ipitia vile tangu juzi
  7. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Zijue fursa zinazopatikana Handeni mkoani Tanga ambazo zitakufanya uwe tajiri kwa muongo mmoja tu

    Handeni hii au handeni nyingine na magogo zamani ndio yalikua dili lakini siku hizi kipengele jela nje nje
  8. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Ninazielewa sana hizi chuma ukiipiga resi inatoa mlio flani hivi
  9. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

    Sasa unakuta mko mzima una shule ya secondary moja tu
  10. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Kama umekaa na namba ya simu kwa miaka 10 na kuendelea, nakupongeza sana!

    Hii ya kwangu hata kabla hii biashara kusajili line haipo ninayo mpaka leo
  11. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

    Huku kayumba sisi wazazi tunakimbia majukumu ya kuwasimamia watoto. lakini huku kayumba ukiamua kuchukua majukumu ya mzazi nyumbani shule za kayumba mtoto anatoboa vizuri sana
  12. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

    Ni kweli kabisa mkubwa alisoma hizi private akaleta matokeo sio mdogo nikampeleka kayumba naona kaja A zote
  13. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania Yajue Maisha yalivyo jela

    Watu wanaingiza sigara noti za hela na bangi
  14. kiduku mpapaso

    JamiiForums Tanzania KERO Vyoo Vya Umma Kukosa Sabuni na Toilet paper

    Kama hauna ulazima we vumilia tu maana utabeba magonjwa kwenye hivyo vyoo utajutia
Back
Top Bottom