Recent content by KIDONYA KIMBWENJE

  1. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania It was when we were marching As Comrades!

    They talk about the failure of socialism but where is the success of capitalism in Africa, Asia and Latin America? Fidel Castro Ruz
  2. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    Licha ya Changamoto zetu kama Taifa,na Mafanikio yanayotajwa Lazima Kuulinda na Kuuenzi Uhuru Wetu Pia Kuakisi Tunu zake #55UHURUTanzania
  3. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    so kwa hiyo Index ni Fastjest. Wakati ATC baadaye ATCL inafeli wao na mashirika mengine waliacha kununua ndege?
  4. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Ancient Footprints discovered in Tanzania

    wa pili? Ridhika
  5. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Dola ya Mrima(Kilwa) iliokuwa Taifa kuu Afrika Karne ya 10(1070 A.D)

    Ukitaka Unaupata. Kubwa ni Unafahamu njia gani zinazotumika kukusanya ushahidi?
  6. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Dola ya Mrima(Kilwa) iliokuwa Taifa kuu Afrika Karne ya 10(1070 A.D)

    kuhusu cita vya Umuhayya umekosea na kupotosa pia,hakikuwa kipindi cha Ottoman Empire iliyoanzishwa na Uthman wa uturuki kwa kuwa ndie muasisi wa Ottoman empire na si Khalifa Uthman khalifa wa 3 wa uislamu baada ya Abubakr, na Umar .lakini Ottoman Empire ilianza Uturuki(Eneo lililokuwa likiitwa...
  7. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Dola ya Mrima(Kilwa) iliokuwa Taifa kuu Afrika Karne ya 10(1070 A.D)

    KUNA UPOTOSHAJI MKUBWA WA HISTORIA JUU YA MILIKI YA KILWA HUSUSANI KUSHABIHISHA UARABU HIVYO WENGI KUKIMBILIA KUFUNZA KUWA NI DOLA YA KIARABU. HAYA YOTE MARA ZOTE YAMECHANGIWA NA DHANA ZINAZOLETWA IMA NA WAARABU(KWA MASLAHI YAO) AU WATU WASIOKUWA WAISLAMU KWA KUUVIKA UISLAMU UARABU. HAKUNA SHAKA...
  8. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Dola ya Mrima(Kilwa) iliokuwa Taifa kuu Afrika Karne ya 10(1070 A.D)

    UKITAKA KUJUA WATU WANAPUUZA MAMBO NENDA KILWA LEO HATA BILA TAKWIMU HUWENDA NI MIONGONI MWA WILAYA MASIKINI KABISA TANZANIA
  9. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Take One cha Clouds Tv chafungiwa miezi mitatu

    Ndo na mashoga wanapatikanaga kipindi Hiki hiki cha Take One
  10. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Kati ya Airbus, Boeing na Bomardier ni ndege zipi zinaongoza kwa ajali?

    mi nnasema hata zingekuja hizo wazitakazo wangeanza na kauli miaka 50 yote mlikuwaapi? self hatred
  11. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Burundi waipa msaada Tanzania

    unachagua cha kusaidiwa? walioleata mabati,cement,magodoro na cingine kutoka kenya ,Uganda nani kakwambia vitu hivyo havipo Tanzania?
  12. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    HAJUA MBONA NAGESHASEMA, HAJUI ATAANZA MANENO MANENO YA KUFUNZANA WOGA TU. HAJUI
  13. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    UPO WAKATI KUONGEA KIYUNANI(KIGIRIKI) ILIKUWA NI FAHARI HATA WANOJIITA WATEULE(WALIONGEA),UPO WAKATI KUONGEA KILATINI ILIKUWA FAHARI,UPO WAKATI KUONGEA KIARABU ILIKUWA FAHARI SASA NI FAHARI KUONGE KIINGEREZA. MBONA IKO WAZI MADOLA INFLUENTIAL LUGHA YAKE HUONGELEWA NA WATU WENGI, MASIMULIZI YA...
  14. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    KWA SBABU YA UKOLONI NA UTUMWA WATU WNAFIKIRIA HII NI HBARI YA UISLAMU NA UKRISTO, IMANI ZIKO NYINGI HATARI NZA NYINGI TU ZINA VITABU VYAKE SHIDA HAP AKILI ZOTE ZIKO ULAYA NA UARABUNI
  15. KIDONYA KIMBWENJE

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    IMANI ZOTE NI MYTHOLOGY ZOTE HAKUNA AMBAYO SI MYTH KWA KUWA HATUTHIBITISHI IMANI KAMA SAYANSI IMANI ITHIBATI YAKE NI IMANI NA IMANI NI MATARAJIO YA KISICHOKUWEPO KATIKA MILANGO YA FAHAMU ILA UNAKITIA KATIKA UFAHAMU.HIVYO UYAHUDI,UKRISTO UISLAMU ZOTE NI MYTH NIMEANZA NA HIZO KWA KUWA ULIMWENGU...
Back
Top Bottom