Recent content by kidodii

  1. K

    Mimba kutoonekana kwenye mkojo

    ina mda gan? kama homones zako kali ht in 1wk itaonekana. othrwise it takes 2wks had 1month ku detect kwenye mkojo
  2. K

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    helo Jf Dr, tuseme mtu ana mzunguko wa ck 28, then uka Do ck ya 21-24, kuna possibility ya kupata ujauzito?
  3. K

    maternity dress

    Hii peroprinters.com inahusika na maprintings tuu mbona? Nashindwa kuwacontact. Em eka numbr yako,
  4. K

    maternity dress

    Wafanya biashara humu, kuna mtu aliwah kusema anauza maternity trousers. Kwa Dar anapatkana wapi na anauzaje? Naomba contacts
  5. K

    11 Common Interview Questions That Are Actually Illegal

    Nimefanya untervuew kibao an yet cjawah kukutana na hch k2. By the way kuna kaz zngine zinataka m2 aczd umri flan, sasa u find a person anaonekana mkubwa au mdg sana thn the age declared. Unafkr wataacha kuuliza?
  6. K

    Tayoa emloyment portal imeishia wapi ?

    Bc mi nkajua ni moderm nayo2mia. Lbd wako kw marekebsho itarud soon
  7. K

    Advans bank

    Tayar wameshaitwa kazin, ndo wako kwenye training. We unasema bank iko bias na kimshahara gan had wabanie m2 asiingie? Then huyo anaesema tawi lao liko science kwenye mataa ni mwongo! Advans wana matawi matatu tuu, Manzese darajani pale, Kariakoo mtaa wa kariakoo karibu na Harare inn hotel au...
  8. K

    Advans bank

    Walikufanyaje? Tell me their biasness
  9. K

    Je wanawake ndivyo mlivyo tukiwa mbali nanyi?

    Kwa mcchana ni ngumu sana mwanaume kukuamini tena haata umfanyie nini. Ndo maana akinya kukua kanya akinya bata kaharisha. Ndivyo ilivyo.
  10. K

    Jina unalomwita mpenzi wako leo ni tofauti na mlivyoanza mahusiano?

    nimeipenda hii. ...Akuite beby, sweet, honey, my love, my angel kama hakuna love ni ZERO!!
  11. K

    Je hili kweli kuhusu ndoto..

    ucsubrie ndoto, kama unaona mbaya c uondoke tuu, wasbria nn?
  12. K

    Beki 3 Wangu

    Haujaambiwa ukemee zinaa, imeandikwa "ikimbieni zinaa. So hata ukifunga na kuomba, utajitesa buuuree zinaa haikemewi. Jogoo akishawika utamkemea aache?? Hakuna kitu kama hcho
  13. K

    Je hili kweli kuhusu ndoto..

    Mi nimewah kumuota tena saana, lkn waala hakuna dalili za kuachana. Ni iman tu na ukiamin inatokea kweli. Sbb ndoto ni mawazo unayowaza, sa hw comes ukamuwaza mpenz wako then ukamuota mkaja kuachana?? SI KWELI
  14. K

    Msaada, kitabu cha Public Service Recruitment

    Naomba kujua kile kitabu cha public service recruitment ntakipataje? Kile kinachoelezea kaz, na mambo ya interview. mwenye idea pls
Back
Top Bottom